Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tafadhali usiingilie topic isiyokuhusu. Tatizo sio nani mwenye jina la “Kenya” Bali issue ni kudharau jina la nchi bila kujua Maana yake. But since you’ve brought it up, parents aren’t naming their children “Kenya” strictly because it’s the name of a country. The word Kenya also has roots in Hebrew and Japanese. So, do not feel so special because guess what? You aren’t!
View attachment 1685923
Pia Zaire!

My friend weka matusi kando twende na facts. Watu wengi sana wameita watoto wao jina "Kenya". Kwanza black Americans wanapenda hilo jina sana. Jina Tanzania ni jina mbaya sana hakuna mtu anataka kuita mtoto wake hilo Jina.

Kenya Moore (Actress, TV personality)
View attachment 1685917

Kenyan Drake (American football star)
View attachment 1685918

Na kama bado unaleta ubishi tazama hii list

View attachment 1685920
Najua hamna comeback kwa hili. Hii itabidi mumenyamaza tu maana hakuna mtu yeyote mashuhuri anayeitwa "Tanzania".

Cc Naton Jr Geza Ulole The best 007 Venus Star kikihboy Coco Master komora096
Japo waliwapa watoto wao hayo majina kutoka kwa Hebrew meaning sio sababu kulikua na nchi inaitwa Kenya na ndio maana hao wote walipewa hayo majina miaka ya nyuma kipindi hata Kenya haijulikani ulimwenguni

Baada ya globalization people ceased to use it japo pamoja na hivyo jina Kenya ni mali ya mzungu pia

Oya punguzeni watakimbia wote sasa 😅😅
 
Professor Hussein M Adam 'Tanzania' 1992 - Somalia Crisis and Peacekeeping​

66%20Adam%20Hussein%20M.jpg

Hussein died Jan. 14, 2017.

Born in Tanzania (then Tanganyika), he came to Princeton through a Kennedy-era program that sought to assist in educating outstanding African students who might be part of that continent’s post-independence leadership.

At Princeton, Hussein was a Woodrow Wilson School major and belonged to Ivy Club. During his senior year he roomed with Drew Hicks and Steve Ingersoll.

After graduating from Princeton, he earned a master’s degree at Makerere University in Kampala, Uganda; and a Ph.D. in political science at Harvard. Fluent in French, Swahili, and Somali, he also studied in The Hague, Paris, and Cairo.

Hussein served on the faculty of Brandeis University and — from 1989 until his retirement in 2015 — on the faculty of Holy Cross, where he taught African politics and literature, the politics of international humanitarian assistance, and black political and social thought.

In addition to a distinguished teaching career, Hussein was tireless in nonpartisan service to the United States government and to international organizations, including the World Bank and the United Nations Department of Economic and Social Affairs.

Hussein is survived by his wife, Faduma, and seven children, to whom the class extends heartfelt condolences.

Source : Hussein M. Adam ’66
 
Can someone tell JPM to stop cutting down trees in the name of offering blackwood carving?
But unajua hiyo ndio legacy yetu kuu, yaani dunia nzima hutopata kitu kama hicho, aisee kuna siku nilikua naangalia CNN kipindi cha Obama nikaona wamedispay carving ya ujamaa oval office yaani kilikua kwenye background kama sanamu ya Abraham Lincoln na Luther King,

Nimejaribu ku Google sana sikuona tena hiyo picture,
 
Wewe Geza chunga usipotee. Unaweza kupotezwa na wasiojulikana kwa kumcriticize Mungu- mtu. Wenyewe wanapitia nyuzi hizi kila siku.
 
Kwenye suala la mazingira JPM yupo vizuri, kaanzisha mashamba mengi sana ya miti awamu yake

Mojawapo ni hili la Biharamulo, ni shamba kubwa (man made forest) ukubwa hata wa County yenu 1, litakua kubwa baada ya Sao Hill

ErjD5m3WMAEnN7s.jpg
EsVensdW8AAhPg_.jpg

My friend weka matusi kando twende na facts. Watu wengi sana wameita watoto wao jina "Kenya". Kwanza black Americans wanapenda hilo jina sana. Jina Tanzania ni jina mbaya sana hakuna mtu anataka kuita mtoto wake hilo Jina.

Kenya Moore (Actress, TV personality)
View attachment 1685917

Kenyan Drake (American football star)
View attachment 1685918

Na kama bado unaleta ubishi tazama hii list

View attachment 1685920
Najua hamna comeback kwa hili. Hii itabidi mumenyamaza tu maana hakuna mtu yeyote mashuhuri anayeitwa "Tanzania".

Cc Naton Jr Geza Ulole The best 007 Venus Star kikihboy Coco Master komora096
pointless

ulicgosomea,pia kulingana na umri wako bado unautoto unaongea pumba
 
Tafadhali usiingilie topic isiyokuhusu. Tatizo sio nani mwenye jina la “Kenya” Bali issue ni kudharau jina la nchi bila kujua Maana yake. But since you’ve brought it up, parents aren’t naming their children “Kenya” strictly because it’s the name of a country. The word Kenya also has roots in Hebrew and Japanese. So, do not feel so special because guess what? You aren’t!
View attachment 1685923
umemaliza mkuu,,, tena hata usingemwambia ,,,,huyo jamaa anautoto uliombatana na uchokoraa wa mtaani....
 
Japo waliwapa watoto wao hayo majina kutoka kwa Hebrew meaning sio sababu kulikua na nchi inaitwa Kenya na ndio maana hao wote walipewa hayo majina miaka ya nyuma kipindi hata Kenya haijulikani ulimwenguni

Baada ya globalization people ceased to use it japo pamoja na hivyo jina Kenya ni mali ya mzungu pia

kuanzia leo nitakuwa nawaita wakenya kirinyaga
 
But unajua hiyo ndio legacy yetu kuu, yaani dunia nzima hutopata kitu kama hicho, aisee kuna siku nilikua naangalia CNN kipindi cha Obama nikaona wamedispay carving ya ujamaa oval office yaani kilikua kwenye background kama sanamu ya Abraham Lincoln na Luther King,

Nimejaribu ku Google sana sikuona tena hiyo picture,
Unajua ni miaka mingapi mtu wa Blackwood huchukua kuota na kuwa mrefu namna hiyo? Aaache hii maneno zawadi aanaweza kutoa picha ya mlima Kilimanjaro! Inatosha! Huu mti ulikuwa ushawekwa underprotection ila jamaa kuingia madarakani kapuuzia hiyo status ndo maana katiba inabidi ibadilike na sio tunakuwa na Rais anajiamulia chochote atakacho!
 
haiwezi kupotea sababu Tanzania forest service agency wanaipanda sana na kuna dedicated forests kwa ajili ya miti ya asili kama mpingo

Ujue pia hiyo carving inatolewa kwa nadra sana ni viongozi wakubwa tu wa mataifa ndio hupewa.
 
Back
Top Bottom