Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Niendelee ama niwache kaka komora
10459321_af4d3e6d36834503b7b8293f68611ce9_jpeg_jpeg08700844f06c7b0b782093b870e5c15e.jpeg

10342744_y3_jpg6a69f3993bee157367a6ce7895732b53.jpeg
 
Especially km mfanyakazi, ila km golikipa basi daily utakuwa unatafunwa tu [emoji3][emoji3]
Ndio raha ya mtandao, yani unatesa watu sana hata wasiokujua wanajitia kukufahamu..
Utateseka sana, ila mimi sina roho mbaya ukitaka kunijua ukifika msa nitafute nikutoe viwanja manake naona nkm upo single..
Nitakupa toto kweli mimi, ama nikuonjeshe kw picha kwanza upagawe we msukuma
 
Wakati Kenya na Tanzania tuko busy hapa kurushiana vijembe, na kufanya battle kwa mambo yasiyo na maana, Nigeria wapo busy manufacturing cars. Sio kuassemble bali kumanufacture. Wao wanamanufacture gari from scratch. Tujifunze kitu hapa.
 
Unajua sipendi uongo na leo nimekukamata. Hio 3 km umetoa wapi? Mzee siku hizi kuna teknolojia na hatukubali uongo.
Google maps inasema kutoka Nairobi CBD hadi westlands ni 5.4 kilometres na inachukua dakika nane na inachukua dakika nane kwenye gari kwa speed ya kawaida kama hakuna jam. Lakini kwa sababu jam huwa pale 24-7 basi hata kwa gari utachukua 20 mins. Na kwa miguu utachukua 30 minutes ndio ufike kuleView attachment 1684938
Tatizo lako unapupa sana wewe🤣🤣🤣👇

Tatizo lako una pupa sana wewe🤣🤣👇
BA2B3117-6F41-4969-B590-4421DFFD4191.jpeg
 
ichoboy01 kumbe mombasa ina hoyeli nyingi hvo, yani imeizidi dar na zanzibar combines..
Asante kwakutujuza msemaji wa mahoyeli mombasa[emoji23][emoji23]
Wapi makazi ya watu hebu tuoneshe leo tucheke ukipata residential areas kama hzi za mwanza nitag 🤣🤣🤣👇👇👇 mumebakia kukimbilia part of nyali kwenye mahoteli hahahahahha

Nakwambia kila nyumba Mombasa ni hoteli, tuko juu sana mwanangu.
Au nimesema urongoooo🤣🤣👇👇👇
Niambie basi usiogope kuni quote😁😁 au sio hapo ulipopost mamaeee ningekua sijafika mombasa ungeniongopea wewe ila kwa sasa tuliza vuzi tu
85423879-0AEB-4183-9041-06300958AD31.png
4A6FEF6B-406C-43B0-888A-BA8484A9D2E6.png
A973A615-EECF-4305-B22C-523DA7EB01F7.png
D210B215-9460-46C3-894F-E535CF0DFC9C.png
7C8DEA9F-F479-4ABB-8606-8262B3509369.png
508D9C54-0567-4711-9C16-0B4772688EB2.png
 
Back
Top Bottom