Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Si lazima hata niandike code kuteneza round button naeza hata use picha then I code the photo to respond and adjust time the reason I specified round button ni usiiibe code code tunataka ni ya ku adjust time si ya kuteneza picha
Ninataka uandike code za kuweka button round. I told you wewe bado sana.
 
Mfano? na at what percent? So kununua bonds ni sawa na mkopo (terms-wise) Mr Tony Kuria acha kudharaulisha CPA yako!
Terms sio muhimu. Bonds pia ni mkopo kwa serikali. Wacha kujifanya kwamba hujui hilo. Na China na Saudi Arabia wamenunua bonds worth hundreds of billions of dollars.
 
🤣 🤣 🤣 [emoji116][emoji121]️ now u have jumped to PAX numbers while my question was simple, show me automatic doors at JKIA! ukome kulinganisha that medieval airport (JKIA) na state of the art sophisticated, high tech JNIA!

hapo maana yake kakubali kuwa hakuna automatic doors at JKIA! case closed!
 
And you post the full code na iwe ndani ya ile code yako ya mwanzo usiiibe code online na usichore tena until then.....
Issue zako ni za kitoto sana. Unadhani issue ya kuiba online ni kuimba kama kuchukua chang'aa. Ingekuwa simple hivyo everyone angekuwa ni software developer.
Halafu usitegemee nitakuonesha chochote mpaka unitafute kwa adabu.
 
Terma sio muhimu. Bonds pia ni mkopo kwa serikali. Wacha kujifanya kwamba hujui hilo. Na China na Saudi Arabia wamenunua bonds worth hundreds of billions of dollars.
Geza Ulole naona uliitisha evidence nikasahau kuweka. Ndio hii hapa ya China pekee. Ya Saudi Arabia pia ni kubwa

 
Back
Top Bottom