Ngokongosha
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 3,400
- 7,610
Duh, Leo Umekuwa mpole, siamini kama ni wewe.Mi sio programmer najua basic hapa na pale tu kw ujanja ujanja wangu, nlikua nataka kuandika 0-99 ila hyo ni typo error..
Lkn tatizo nimeona haina haja nikurupuke na sector ambayo inawenyewe