Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yeah quite something and taking shape,can’t wait to see it come to fruition.Unlike you’re rudimentary brt design this one is well thought out.View attachment 1683807View attachment 1683808View attachment 1683809
Sisi ndiyo wataalam wewe. Sisi hatuogopi kufeli. Failure is not an opposite tu success, instead it's part of success. Sisi tulifanya makosa miaka ya nyuma hapo Jangwani. Now tushajifunza. Kitu tutafanya hapo Jangwani na bonde lote la Msimbazi hakuna nchi hapa EA inaweza kufanya.

Narudia, sisi tuna ujasiri wa kufanya na hatuogopi kukosea. Jana niliwapa mfano wa kosa tulilofanya pale Kigamboni. Tukajifunza na tumekuja kuonesha "ujuaji" pale Kigongo Busisi! 3.2 km bridge kwa pesa ya ndani. Over TZS550bn (VAT exclusive). Hizo ni kitu serikali ya Kenya inaweza ota tu ndotoni.

Pia kwenye BRT phase II na kuendelea tumeamua kuja na model itakayomeza miradi mingi ya fly overs. Hivyo tunaua ndege wawili kwa jiwe moja. Inapoisha phase VI ya BRT, Nairobi kwa Dar itakuwa mchicha kwa mbuyu.
 
add correct time settings buttons on Ur project it now looks like a real application kama hukuiba code use the same code add two round buttons one to adjust the minutes the other to adjust hours now this itakua the determinant who really knows what they doing...
Umekamata mtu. Hatafanya. Atatoroka. Ngoja uone.
 
Cheka tu lakini fahamu kuwa number of passengers wanaopitia JKIA ni more than double ya wale wanaopitia JNIA.
🤣 🤣 🤣 👇☝️ now u have jumped to PAX numbers while my question was simple, show me automatic doors at JKIA! ukome kulinganisha that medieval airport (JKIA) na state of the art sophisticated, high tech JNIA!
 
View attachment 1684155

Code hizi hapa utatumia hata kwenye mambo mengine nakusaidia
Code:
private void DrawButton(Button btn)
        {
            Bitmap bitmap = new Bitmap(500, 500);
            Graphics gr = Graphics.FromImage(bitmap);
            gr.Clear(Color.Coral);
            Rectangle rect = new Rectangle(0, 0, 500, 500);
            System.Drawing.Drawing2D.LinearGradientBrush brsh = new System.Drawing.Drawing2D.LinearGradientBrush(rect, Color.AliceBlue, Color.CadetBlue
                , System.Drawing.Drawing2D.LinearGradientMode.Horizontal);

            gr.FillPie(brsh, rect, 0, 360);
            btn.BackgroundImage = bitmap;

        }
Noo na nilijua tu I want the full thing functioning vile mimi nilituma small recording and you post the whole code incorporated to the old one
 
Mambo mnayojadili kuhusu programming ni mambo basic sana...

Open Source Hardware Zipo, Open Source Software Zipo...

Mfano wa open Source Hardware ni Development Boards za Sparkfun, Arduino na Hata Raspberry Pi.

Most 3D Printers ni Open Source Hardwares...

Hata kuna simu za mkononi ni Open Source Hardwares...

Mnaweza kutembelea website ya EagleCAD wanazo schematics na PCB design nyingi including Beagleborn...

Tutoke kwenye hii mada turejee kwenye Kuziwakilisha nchi zetu

Sent using Jamii Forums mobile app
Cc Venus Star
 
View attachment 1684155

Code hizi hapa utatumia hata kwenye mambo mengine nakusaidia
Code:
private void DrawButton(Button btn)
        {
            Bitmap bitmap = new Bitmap(500, 500);
            Graphics gr = Graphics.FromImage(bitmap);
            gr.Clear(Color.Coral);
            Rectangle rect = new Rectangle(0, 0, 500, 500);
            System.Drawing.Drawing2D.LinearGradientBrush brsh = new System.Drawing.Drawing2D.LinearGradientBrush(rect, Color.AliceBlue, Color.CadetBlue
                , System.Drawing.Drawing2D.LinearGradientMode.Horizontal);

            gr.FillPie(brsh, rect, 0, 360);
            btn.BackgroundImage = bitmap;

        }
This are images the buttons are not functional sikukuambia you make a drawing I want a functional code
 
Noo na nilijua tu I want the full thing functioning vile mimi nilituma small recording and you post the whole code incorporated to the old one
Siwezi nikafanya hivyo. Kama umepewa project huwezi pata jibu hapa. Hahahahahahahaha!!!!.
By the way nimekusaidia sana.
 
View attachment 1684155

Code hizi hapa utatumia hata kwenye mambo mengine nakusaidia
Code:
private void DrawButton(Button btn)
        {
            Bitmap bitmap = new Bitmap(500, 500);
            Graphics gr = Graphics.FromImage(bitmap);
            gr.Clear(Color.Coral);
            Rectangle rect = new Rectangle(0, 0, 500, 500);
            System.Drawing.Drawing2D.LinearGradientBrush brsh = new System.Drawing.Drawing2D.LinearGradientBrush(rect, Color.AliceBlue, Color.CadetBlue
                , System.Drawing.Drawing2D.LinearGradientMode.Horizontal);

            gr.FillPie(brsh, rect, 0, 360);
            btn.BackgroundImage = bitmap;

        }
🤣🤣🤣🤣🤣 nilikuambia hata kudanganya hujui sunset aje? How does it add or subtract the hours??? Where is the code linking the image you sent to the time code itself??? So you thought if you send a code for making a non functional image we will applaud and move one
 
Huyo mtu amefanya kila task mliompatia. Nyinyi hamtaki kukubali kwamba yeye ni programmer kwa sababu yeye ni Mkenya na hampendi Wakenya.

Cc Venus Star
Tony254 huyo mtoto ndio anajifunza programming. Ndio maana nikamwambia anitafute nimsaidie. Atoe pesa kidogo.
Hajafanya chochote hapo swali nililompatia kafanya issue tofauti kabisa.
 
🤣🤣🤣🤣🤣 nilikuambia hata kudanganya hujui sunset aje? How does it add or subtract the hours??? Where is the code linking the image you sent to the time code itself??? So you thought if you send a code for making a non functional image we will applaud and move one
🤣 🤣 🤣 Siwezi kukupatia home work uliyopewa shuleni. Hiyo inatosha kukuonesha. Nitafute nikusaidie.
 
Tony254 huyo mtoto ndio anajifunza programming. Ndio maana nikamwambia anitafute nimsaidie. Atoe pesa kidogo.
Hajafanya chochote hapo swali nililompatia kafanya issue tofauti kabisa.
Unisaidie na umeshidwa kuteneza buttons za ku adjust time hadi anatumia picha ya a nun fuctional buttons kutudanganya
 
🤣 🤣 🤣 Siwezi kukupatia home work uliyopewa shuleni. Hiyo inatosha kukuonesha. Nitafute nikusaidie.
Inanionyesha tu umechora picha na code picha ndo saa?? Make a small video vile nilifanya kama hiyo si picha tu.. just a non fuctional interface
 
Inanionyesha tu umechora picha na code picha ndo saa?? Make a small video vile nilifanya kama hiyo si picha tu.. just a non fuctional interface
Kwahiyo huamini kuwa hizo code kuwa ni za kwangu.
Nimeanza programing kwa sasa nina experience ya miaka zaidi ya 20.
Ndio maana nakuambia nitagute nikusaidie ujue code. Wapo vijana wengi hapo kenya wananijua. Ninawezakukutajia majina ukinitafuta kwa heshima.
 
To cut the story andika hizo code za kutengeneza round button.
Si lazima hata niandike code kuteneza round button naeza hata use picha then I code the photo to respond and adjust time the reason I specified round button ni usiiibe code code tunataka ni ya ku adjust time si ya kuteneza picha
 
Back
Top Bottom