President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,058
- 93,451
Kijana andika swali lako. Kwanza swali nililokupa umekosa.Kwani huwezi ongeza buttons za kuset time tu????? 🤔🤔🤔🤔hilo ndo swali mimi nataka ufanye mimi ulinipa challange nilichelewa but nikafanya mimi nimekurahisishia kwa ile code yako tu ongeza button mbili za round za kuset the time in the watch... kama tushajenga watch tu adjust time buttons should not be a problem