Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

start ups ni mikopo and Kenya is known for mikopo!
It is a prestigious thing ikiwa nchi yenu ina start-ups zinazoweza kuraise pesa from investors. Start-ups zenu ni bogus low-quality ndio maana hata investors wanakataa kuinvest kwenye hizo start-ups. Halafu mzee sio kila investment from investors inakuja in form of debt. Kuna investors wanaonunua shares kwenye kampuni hio, kwa hivyo wanakuwa shareholders. Halafu pia kuna angel investors ambao wanapea grant kwenye kampuni. Grant sio mkopo, ni pesa ya bure. So sio kila investment ambayo ni debt. Halafu nchi ambayo investors wapo interested kuinvest kwenye start-ups zao ni tatu tu hapa Africa (Kenya, Nigeria na SA). Sisi ndio big 3. Nyinyi wengine start-ups zenu ni ndogo sana na very useless ndio maana haziwezi kuraise pesa in the international market
 
nipe mfano wa nchi moja ambayo ime-excel na kuwa independent kwa mikopo kutka nchi nyingine!
 
Niandike equation tena? Jamaa yako Simba 254 kaishia mitini.
Hivi unadhani mimi ni jobless kama wewe?
Wewe si umeshinda hapa ukipoteza muda ukipingana na Simba 254? Sasa ndio unajifanya kwamba uko busy? Basi kwa nini unadanganya watu kwamba wewe ni cosmologist?
Unajua huyu astrophysicist?
download.jpeg

Na huyu cosmologist unamfahamu?
images (26).jpeg

Ninakupatia hadi na link zao za wikipedia ukasome CV zao ndio siku nyingine nyumbu kama wewe usifungue bakuli na kusema kwamba umesomea specialty ya physics. Unaweza danganya wajinga wajinga wenzako humu lakini sio mimi.

Niandike equation tena? Jamaa yako Simba 254 kaishia mitini.
Hivi unadhani mimi ni jobless kama wewe?
Wewe si umeshinda hapa ukipoteza muda ukipingana na Simba 254? Sasa ndio unajifanya kwamba uko busy? Basi kwa nini unadanganya watu kwamba wewe ni cosmologist?
Unajua huyu astrophysicist?
download.jpeg

Na huyu cosmologist unamfahamu?
images (26).jpeg

Ninakupatia hadi na link zao za wikipedia ukasome CV zao ndio siku nyingine nyumbu kama wewe usifungue bakuli na kusema kwamba umesomea specialty ya physics. Unaweza danganya wajinga wajinga wenzako humu lakini sio mimi

Wewe si umeshinda hapa ukipoteza muda ukipingana na Simba 254? Sasa ndio unajifanya kwamba uko busy? Basi kwa nini unadanganya watu kwamba wewe ni cosmologist?
Unajua huyu astrophysicist?
View attachment 1684089

Na huyu cosmologist unamfahamu?
View attachment 1684091
Ninakupatia hadi na link zao za wikipedia ukasome CV zao ndio siku nyingine nyumbu kama wewe usifungie bakuli na kusema kwamba umesomea specialty ya physics. Unaweza danganya wajinga wajinga wenzako humu lakini sio mimi.

Phobophobia inakusumbua.
Hebu niambie unachotaka nini kutoka kwangu? Private things huwezi kuvipata. But nitakupatia public things. Tukija kwenye upande wako wa Accounts, wewe ni mtu mdogo sana katika dunia hii. Unatakiwa usome vitu vingi. Mimi baada ya kusoma mambo ya Religius Studies ndio niliona ni muhimu kujua vitu tofauti tofauti. Na kusoma cosmology hakuna anayekukataza hata wewe unaweza kusoma.
 
nipe mfano wa nchi moja ambayo ime-excel na kuwa independent kwa mikopo kutka nchi nyingine!
Sijui kama kuna nchi kama hio. Nadhani kila nchi duniani inakopa kutoka kwa nchi zingine na multilateral organisations.
 
Phobophobia inakusumbua.
Hebu niambie unachotaka nini kutoka kwangu? Private things huwezi kuvipata. But nitakupatia public things. Tukija kwenye upande wako wa Accounts, wewe ni mtu mdogo sana katika dunia hii. Unatakiwa usome vitu vingi. Mimi baada ya kusoma mambo ya Religius Studies ndio niliona ni muhimu kujua vitu tofauti tofauti. Na kusoma cosmology hakuna anayekukataza hata wewe unaweza kusoma.
Kwanza wacha kudanganya watu. Cosmology in most places inasomwa kama masters baada ya kusoma degree ya physics. Pumbavu wewe. Eti ulisoma degree ya religious studies kisha ukaspecialise na cosmology? Ama unasema nini? Unamjua Steven hawkings? Wewe unajua kucalculate equations za black hole? Huwezi soma degree ya religious studies kisha ukasoma specialty ya physics.
images (26).jpeg

Huyu jamaa ndio God-father wa cosmology. Alisomea degree ya physics kisha baadaye akasomea graduate studies ya cosmology.
 
Sisi hatuhitaji tabs kijana tunahitaji kazi ionekane. Mbona unanikwepa. Wewe ndio unajifunza upo chuo. Kama unataka kujifunza kweli programming kijana hii kazi haitaki ujanja ujanja utafungwa.
Bro I take my time but make quality stuff that's 100 lines of code ni code hadi unaeza tumika commercial..... we tulimaliza haraka coz you used a template and endured no pain of correcting code yenye hata haitanisaodia anywhere just to prove a point
 
Attachments

  • Screen_Recording_20210123-124653.mp4
    2.1 MB
Bro I take my time but make quality stuff that's 100 lines of code ni code hadi unaeza tumika commercial..... we tulimaliza haraka coz you used a template and endured no pain of correcting code yenye hata haitanisaodia anywhere just to prove a point
Wewe umeunda na timer inafanya. Wacha yeye aunde tuone.
 
Bro I take my time but make quality stuff that's 100 lines of code ni code hadi unaeza tumika commercial..... we tulimaliza haraka coz you used a template and endured no pain of correcting code yenye hata haitanisaodia anywhere just to prove a point
Ondoa upumbavu wako hapa. Go away hujui chochote. Huo upumbavu wako huo wadanganye wakenya wenzako.
1. Nimekuambie utengeneze Windows Application hiyo siyo windows Application.
2. Nimekuambie utumie multithread hujatumia popote.

Ondoa janja janja za kipumbavu hapo.
 
Sijui kama kuna nchi kama hio. Nadhani kila nchi duniani inakopa kutoka kwa nchi zingine na multilateral organisations.
Kuna nchi zinakopa kutoka institution zake kama the US, Japan na Ujerumani! Na hiyo ndo tofauti! Huwezi kukopa toka nchi nyingine kama Kenya at 90% debt to the GDP, halafu ukaamini uta-excel! najua utaendelea kubisha ila ukweli unajua!
 
Ondoa upumbavu wako hapa. Go away hujui chochote. Huo upumbavu wako huo wadanganye wakenya wenzako.
1. Nimekuambie utengeneze Windows Application hiyo siyo windows Application.
2. Nimekuambie utumie multithread hujatumia popote.

Ondoa janja janja za kipumbavu hapo.
Bro hujaniomba code uone how do you know sijatumia multi thread ???? That's just a platform to run the code how do you know what type of code it is???? Kuwa serious sometimes
 
Acha ujinga. Hamjui chochote. Stupid. Mwambie aweke code zake hapa.
using System;
using System.Collections.Generic;
using System.Text;
using System.Threading;

namespace Clock_MultiThreading
{
class Program
{
static void Main(string[] args)
{
Console.WriteLine("stupid JF venus challange\t By brian simba");
Console.SetCursorPosition(03, 08);
Console.Write("12 hour clock in ");
Console.SetCursorPosition(20, 08);
Console.WriteLine("hr:min:sec:M.Sec");
Console.Beep();
for (int hr = 0; hr <= 11; hr++)
{
for (int min = 0; min <= 59; min++)
{
for (int sec = 0; sec <= 59; sec++)
{
for (int Msec = 0; Msec < 99; Msec++)
{
if (hr < 10)
{
if (min < 10)
{
if (sec < 10)
{
Console.SetCursorPosition(18, 10);
Console.Write("[ 0{0}: 0{1}: 0{2}:{3} ]", hr, min, sec, Msec);
Thread.Sleep(10);
}
else if (sec >= 10)
{
Console.SetCursorPosition(18, 10);
Console.Write("[ 0{0}: 0{1}: {2}:{3} ]", hr, min, sec, Msec);
Thread.Sleep(10);
}
}
else if (min >= 10)
{
if (sec < 10)
{
Console.SetCursorPosition(18, 10);
Console.Write("[ 0{0}: {1}: 0{2}:{3} ]", hr, min, sec, Msec);
Thread.Sleep(10);
}
else if (sec >= 10)
{
Console.SetCursorPosition(18, 10);
Console.Write("[ 0{0}: {1}: {2}:{3} ]", hr, min, sec, Msec);
Thread.Sleep(10);
}
}
}
else if (hr >= 10)
{
if (min < 10)
{
if (sec < 10)
{
Console.SetCursorPosition(20, 10);
Console.Write("{0}:0{1}:0{2}:{3}", hr, min, sec, Msec);
Thread.Sleep(10);
}
else if (sec >= 10)
{
Console.SetCursorPosition(20, 10);
Console.Write("{0}:0{1}:{2}:{3}", hr, min, sec, Msec);
Thread.Sleep(10);
}
}
else if (min >= 10)
{
if (sec < 10)
{
Console.SetCursorPosition(20, 10);
Console.Write("{0}:{1}:0{2}:{3}", hr, min, sec, Msec);
Thread.Sleep(10);
}
else if (sec >= 10)
{
Console.SetCursorPosition(20, 10);
Console.Write("{0}:{1}:{2}:{3}", hr, min, sec, Msec);
Thread.Sleep(10);
}
}
}
}
Console.Beep();
}
Console.Beep(); Console.Beep();
}
}
Console.ReadKey();
}
}
}
 
Mbona
Kuna nchi zinakopa kutoka institution zake kama the US, Japan na Ujerumani! Na hiyo ndo tofauti! Huwezi kukopa toka nchi nyingine kama Kenya at 90% debt to the GDP, halafu ukaamini uta-excel! najua utaendelea kubisha ila ukweli unajua!
Unacheza mbali na mchezo mtu wa exel proggraming hehe kuja hapa hata wewe ujibu maswali kidogo hehe
 
Back
Top Bottom