Naton Jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 7,866
- 19,252
Barabara zenu finyu na hazina sidewalkNairobi expressway ikiwa inajengwa next to the tall structures.
View attachment 1683881
Barabara zenu finyu na hazina sidewalkNairobi expressway ikiwa inajengwa next to the tall structures.
View attachment 1683881
Bongo niskize Mimi😂😂mziki wangu Ni hip- hop na gengetoneAsikuongopee huyo, mziki wake ni Bongo fleva.
Hapo ni construction site. Hakuna barabara hapo. Wewe unazungumza kuhusu barabara gani ilhali barabara ambayo ilikuwa hapo imebomolewa ili kuruhusu expressway kujengwa?Barabara zenu finyu na hazina sidewalk
Saa zingine kama hujui kitu funga mdomoInaendelea kubaki kwa karatasi!
Mbona ule upande wa pili hauna majengo? Kuna nini kule? Naongea kuhusu kile kipande cha juu cha ardhi ambacho kimegawanywa na maji
Hua mnapenda sana kujifariji ila nyie ni bloodlines za slavesUnapinga kwamba Wakenya wengi ni Wabantu?
Unajua jina Bagamoyo linatokana na kitendo gani?Hua mnapenda sana kujifariji ila nyie ni bloodlines za slaves
Ile ni kigamboni ni sehemu ya makaazi ya watu, pia kuna jeshi la wana maji.Mbona ule upande wa pili hauna majengo? Kuna nini kule? Naongea kuhusu kile kipande cha juu cha ardhi ambacho kimegawanywa na maji
Nionyeshe wa JKIA! Naona Tanasha kamletea...Milango automatic yako kwenye mijengo mingi tu hapa Kenya. Sijui nini inakupa nyege na mlango automatic.
🤣 😂🤣😂🤣😂Tena kachukua kitemplate akaedit kama ms word1. Website does not have SSL
2. website development by using free web template
3. The website is the WordPress
4. My kid can design website better than this.
Bado kijana nenda shule.
I thought you gonna send me the serious Web Application
JKIA ni airport ya zamani pengine haina. Mimi JKIA nimetumia old terminals tu. Bado sijawahi kutumia ile terminal mpya. Kwa hivyo sijui kama hio mpya inayo au la. But hata kama haina so what?Nionyeshe wa JNIA!
Okay.Ile ni kigamboni ni sehemu ya makaazi ya watu.
Wee! tusipoteze muda na maswali ya kitoto. Native wa EA ni wachache sana na sio wabantu, mfano hapa TZ ni wahadzabe na wasandawe ila makabila mengi ya TZ yameoriginate West aka wabantu. Sasa nyie ni vizazi vya sudan na hon of africa ambao ni arab slaves waliotorokaUnajua jina Bagamoyo linatokana na kitendo gani?