President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,067
- 93,463
We ain't talking about support to personalities but internet Penetration in a country in generall dont mix the two.😉 . Remember good content sells to audience.Hahahaha mmeshindwaje kuwasapoti wa nyumbani kwenu?
Millardayo 100% swahili media inaongoza Africa kwa kuwa na zaidi ya 1 billion views kutokea Tanzania, Africa nzima Hakuna media yoyote iliofikia idadi hiyo ni Tanzania tu, ninyi endeleeni kupika data tu
Wacha ushamba mzee, Inaonekana hujui maana ya neno "internet penetration". Kuna watu wengi sana wana internet na hawana muda wa kutazama mziki kwenye youtube. Watu wengi wanatumia internet huku kusoma au kufanya kazi. Halafu Wakenya generally wako more exposed to international music than Tanzanians. Wakenya kwa sababu tunaelewa kizungu huwa tunasikiliza muziki hata za Marekani. Huko kwenu nyumbu zote milioni 60 zinasikiliza bongo tu. Hio ndio sababu music video za Kenya zina less views than TZ. Halafu Wakenya ni 48 million na Malazy ni 60 million. So hata population yenu ni kubwa kwa hivyo lazima music videos zenu lazima ziwe na views nyingi kutushindaHahahaha mmeshindwaje kuwasapoti wa nyumbani kwenu?
Millardayo 100% swahili media inaongoza Africa kwa kuwa na zaidi ya 1 billion views kutokea Tanzania, Africa nzima Hakuna media yoyote iliofikia idadi hiyo ni Tanzania tu, ninyi endeleeni kupika data tu
taifa au watu wasiokuwa na utamaduni wao hakika hawana mbele wala nyuma hahahahahahahaha endelea kujisifia vya wazungu na lugha yaoWacha ushamba mzee, Inaonekana hujui maana ya neno "internet penetration". Kuna watu wengi sana wana internet na hawana muda wa kutazama mziki kwenye youtube. Watu wengi wanatumia internet huku kusoma au kufanya kazi. Halafu Wakenya generally wako more exposed to international music than Tanzanians. Wakenya kwa sababu tunaelewa kizungu huwa tunasikiliza muziki hata za Marekani. Huko kwenu nyumbu zote milioni 60 zinasikiza bongo tu. Hio ndio sababu music video za Kenya zina less views than TZ. Halafu Wakenya ni 48 million na Malazy ni 60 million. So hata population yenu ni kubwa kwa hivyo lazima music videos zenu lazima ziwe na views nyingi kutushinda
Kila mnapo kamatika ni mwendo wa visingizio vya kijinga.Wacha ushamba mzee, Inaonekana hujui maana ya neno "internet penetration". Kuna watu wengi sana wana internet na hawana muda wa kutazama mziki kwenye youtube. Watu wengi wanatumia internet huku kusoma au kufanya kazi. Halafu Wakenya generally wako more exposed to international music than Tanzanians. Wakenya kwa sababu tunaelewa kizungu huwa tunasikiliza muziki hata za Marekani. Huko kwenu nyumbu zote milioni 60 zinasikiza bongo tu. Hio ndio sababu music video za Kenya zina less views than TZ. Halafu Wakenya ni 48 million na Malazy ni 60 million. So hata population yenu ni kubwa kwa hivyo lazima music videos zenu lazima ziwe na views nyingi kutushinda
Ni vizuri kuwa exposed to other cultures rather than kujifungia nyumbani kama ninyi. Watu milioni 60 nyote mnatazama nyimbo za Diamond kwa sababu hamjui kingereza, wimbo huo hauwezi kosa kuhit. Lazima wimbo huo uhit maana nyumbu zote zinatazama huo wimbo maana hamjui lugha nyingine.taifa au watu wasiokuwa na utamaduni wao hakika hawana mbele wala nyuma hahahahahahahaha endelea kujisifia vya wazungu na lugha yao
Hii data inajaribu kusema kwamba 20% of Kenyans ndio wana internet access? Ama mimi ndio sielewi.Kila mnapo kamatika ni mwendo wa visingizio vya kijinga.
Hivyo vyote ulivyo orodhesha hapo hata sisi Watanzania huwa tunavifanya tena zaidi yenu na hatupigi kelele.
Kazi ni kupika data. View attachment 1683259
16,000 capacity while our lazy brothers wait for Morocco to build for them.
Hahahaha ngoja nikufunze kitu.Ni vizuri kuwa exposed to other cultures rather than kujifungia nyumbani kama ninyi. Watu milioni 60 nyote mnatazama nyimbo za Diamond kwa sababu hamjui kingereza, wimbo huo hauwezi kosa kuhit. Lazima wimbo huo uhit maana nyumbu zote zinatazama huo wimbo maana hamjui lugha nyingine.
Katika wakenya 100 ni 0 hadi 20 ndio pekee wana Internet access wakati katika Watanzania 100 ni 20 hadi 40 ndio wana Internet access.Hii data inajaribu kusema kwamba 20% of Kenyans ndio wana internet access? Ama mimi ndio sielewi.
Watu skuizi gengetone kuruka kudadeki, mpaka bongo zinachezwa.hawa jamaa bana [emoji23][emoji23]
cha ajabu ukienda bar zao.. nyimbo nyingi zinazochezwa ni za Tanzania
Ndio kitu gani iyo gengetone au nijina la mtuWatu skuizi gengetone kuruka kudadeki, mpaka bongo zinachezwa.
Ukitafuta club bangers tafuta gengetoneNdio kitu gani iyo gengetone au nijina la mtu
Kwahiyo kwa ss bado pachafu ndani ya CBD [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hio udongo imeletwa kutoka mbali ili kuekeza foundation ya barabara. Mradi utakapokamilika hutaona mchanga hata chembe moja. Itakuwa lami mtelezo kuanzia mwanzo hadi mwisho
Ukitafuta club bangers tafuta gengetone
Woooiiiiiiiiii, poriiiiiiiiChukua hii ya NairobiView attachment 1683238