Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jiji linazidi kunoga, Nairobi super expressway six months ahead of schedule. Mchina imebidi aitwe lazy land aokoe jahazi.
IMG_20210122_102514.jpg
IMG_20210122_102525.jpg
 
Hiyo ni Dutch , Na hiko ni kituo cha Train cha huko.
Yeah, maana yake haiwezi kuwa ya Tanzania hiyo au unaonaje? Sababu customization ni pamoja na lugha, hata kwenye ndege za Airtanzania na bus za BRT zipo customized kwendana na lugha zetu za swahili na English nafikiri hata MV Mwanza itakua hivyo hivyo.
 
Means wakenya hawapo kwenye internet, idadi yao kwenye social networks ndio inatoa data halisi
Internet si ya social media pekee mjinga tu ndo atabase internet na social media. Most kenyan services are online based most of point of sales of many businesses are connected to MPESA via internet sahii most modern schools in kenya they use online learning bro!!!!
 
Means wakenya hawapo kwenye internet, idadi yao kwenye social networks ndio inatoa data halisi
Talk with data, we top you in almost every social media site interms of users fb, twitter, YouTube etc you may have single highest followers because of individual popularity like diamond not because of number of users.
 
Internet si ya social media pekee mjinga tu ndo atabase internet na social media. Most kenyan services are online based most of point of sales of many businesses are connected to MPESA via internet sahii most modern schools in kenya they use online learning bro!!!!
Even on social media we trounce them, he thinks having super stars with many following equates to high users. Check the numbers on fb, twitter, pinterest, tumblr, telegram etc
 
Kwani munaumwa mkijua tuna madini pia 🤔 kwani hamtutakii Mavuri ala! Wivu ulioje
Ss si muiite kenyanite[emoji3][emoji3][emoji3]

Haya majinga hayaaa[emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]
 
Back
Top Bottom