Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Anaweza kuwa amevimba macho lakini he is the richest man in china,
Alibaba, which he founded is the biggest retailer in the world.
I am sure you know WALMART, AMAZON and EBAY, well Alibaba is bigger than the three of them combined
nijibu kwanza, analeta investment gani kenya katika ujio wake.
nasubiri jibu lako kwa unyenyekevu mkubwa.
 
jamaa mabwege kweli hawa...wamejichimbia fb kutafuta comment mbaya zinazozungumzia BRT yetu.

bahati nzuri au mbaya kila wakitafuta wanakosa.karibia zote zinasifia.

ukisoma comment za wakenya kuhusu SGR yao ,karibia zote zinaponda.
SGR imekubala pesa nyingi sana tena sana na haina ile kiwango cha pesa hio......
Wachina sio watu wazuri😀😀😀
 
Anaweza kuwa amevimba macho lakini he is the richest man in china,
Alibaba, which he founded is the biggest retailer in the world.
I am sure you know WALMART, AMAZON and EBAY, well Alibaba is bigger than the three of them combined
Leta source officially kua anakuja kenya????
😀😀😀😀😀😀😀
 
Collo hawa majamaa usipowakalia ngumu wata ku bully design wamebully uncle wetu Edward. ...........hakuna kubembeleza punda kwa mteremko....
nani kam-bully swahiba wangu mtu mwenye njaa Edward wanjala?....nadhani kaamua tu kuwa off kwa jf for sometime.

hata mimi kuna wakati huwa naamua kujiweka kando na jf kwa muda furani.ni utaratibu tu wa kawaida hata wewe unaweza kufanya.

niliwahi kukaa kimya bila ku- comment chochote kwa mda wa mwaka mzima.
 
Watu wanakora mpaka wake za watu watarajiwa
Screenshot_20170701-173418.jpg
 
Back
Top Bottom