Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Cbd dar ipo karibu na bahari, cbd nairobi ipo katikati hvyo ni vitu viwili tofauti..
Nairobi imejengeka pande zote dar yani 360
cbd iwe kati au iwe juu hiyo si point bali ni point less ,,,,kwa kuwa ipo kando ya bahari kwani aliyekuambia dar inaanzia kando ya bahari ni nani....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

CBD ni jina tu kama ukitaja mathare ila mwisho wa siku ipo nairobi,,,,,,hata dar cbd ipo katikati pia upande wa ng'ambo ya bahari kuna miji imeendelea kule ...

wacha pang'a ng'a
 
We huoni kama Hilo ni tatizo?mbona etegemee Nairobi wakati Nairobi ina sua sua? Kwa over population?mbona kikuyu isewe empowered ijitegemee kiviake? Issue kama hizi huwez ukapata bongo kila mkoa uko empowered kweli Tanzania ina ngaa kila Kona nakupenda milele🙂kijani,manjano,nyeusi na blue🇹🇿🇹🇿
 
Unakataa kitu kila mtu aliona hapa ndani? [emoji23] wewe ni kichaa
ile sehemu ,,tumeamua kuwa hivyo ni reserve na haoapaswi kuendelea kujengwa mpaka serikali iruhusu......
hilo eneo lisikutishe ni kasehemu kadogo hiyo sehemu ni kubwa sana tofauti na unavyojidanganya
 
kile siyo kijiji ni sehemu ya kimkakati reaerve area mzee.......kichwa ngumu,,,

dar siyo nairobi kila kona vichaka pori
Kwani hata kama ni sehemu ya kimkakati kwani sio pori? Mbona eneo hilo ni pori km 35 kutoka kwenye ocean. Unaposema eneo hilo sio kijiji unamaanisha kwamba eneo hilo ni jiji? Jiji gani ambalo halina majengo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…