The only thing mligundua na dunia yote ikaona ni kwamba corona virus inaweza ambukiza hadi mbuzi na papai. Hapo tunawapa kongole 😂Nyie mmegundua nn ktk science, cc tumegundua km unabisha muulize Tony254, btw haya mambo ww huyajui cz u r a watchman thou [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji90]
Hapo ndio huwa mnanishangaza sasa. Eti Kenya ikifanya kitu au kujenga kitu, it's not because of demand ila Tanzania ikifanya hivyo, it's because kuna mahitaji. Aya basi wewe niambie, hiyo mnayoplan kujenga Mwanza ni kwa sababu ya mahitaji ama?hebu kuwa muwazi tu hiyo town naijua kiasi nimewahi kaa 1week na sehemu ya interchange naipata vyema 5th town si kitu rudi kwenye point ya msingi,,,,,,
unauhakika kuwa mlijenga kwa tija kulingana na mahitaji....?[emoji1787]
Hapo ndio huwa mnanishangaza sasa. Eti Kenya ikifanya kitu au kujenga kitu, it's not because of demand ila Tanzania ikifanya hivyo, it's because kuna mahitaji. Aya basi wewe niambie, hiyo mnayoplan kujenga Mwanza ni kwa sababu ya mahitaji ama?
This picture will be epic once 88Nairobi rules the skyline. I can see the crane in the foreground
Tupe mfanoKenya kuna mifano mingi ya kujenga jenga ovyo bila uhitaji...ndo maana miradi yenu mingi ni white elephant
This picture will be epic once 88Nairobi rules the skyline. I can see the crane in the foreground
This picture will be epic once 88Nairobi rules the skyline. I can see the crane in the foreground
Now look at how self-cotradictory you are. Tukijenga miradi nje ya Nairobi mnalakamika na kusema tunajenga bila kuzingatia umuhimu wa mradi yenyewe. Tukijenga Nairobi pia mnalalamika. Si ni saa hii tu umesupport yule kilaza mwenzako who was wondering about the need to build an interchange in Eldoret? Kwani Eldoret ni Nairobi? Chuki mtakuwa nayo hadi roho zipasuke ila number mtazidi kusomaKenya mumeifanya Nairobi kuwa Nchi yaan Ukitoa Nairobi hakuna Kenya...Na msivyokuwa na Akili miaka sio mingi kenya nzima itaamia Nairobi maana wakenya wa Vijijini hawawez kukosa huduma muhimu na kubaki kuona wakenya wenzao wanafaidi Nairobi yaan jiandaeni huo mji kucheua.
Unadhihirisha tu niliyosema hapo awali. Sisi tukifanya miradi Ni white ephant. Nyinyi mkifanya the same projects kama yetu (hata kama imekwama vichakani), ni project ya maana. Hizi chuki zenu haitawasaidia kutupiku kwa loloteIna maana hujui SGR yenu ni mfano tosha...Train to No where
Mnakijua chuo cha Ardhi, ARU kinatoa kozi ambazo huwezi pata chuo chochote Eastern en central AfricaTop 10 Universities in East Africa
- University of Nairobi
- Makerere University
- Kenyatta University
- University of Dar es Salaam
- Egerton University
- Moi University
- The University of Dodoma
- University of Rwanda
- Sokoine University of Agriculture
- Strathmore University
hivi ndivyo vitu vya kupigia kelele?Foot bridge,at the entrance of Thika Town
View attachment 1678803
Suspension bridge ni ya 15th century wakati nyie mnanengua nayo[emoji23][emoji23]Ww lialia tu km wazim ..ila ukweli ni kwamba mko 1900s kuanzia interchanges zenu mpka flyovers[emoji1787][emoji1787][emoji1787]..
Hamna zege pale[emoji23][emoji23]Lobby ya Nairobi Terminus haifikii hii hata robo! Nairobi terminus Imekaa kama warehouse! Dude lina Milango manual ya kusukuma! Njoo Dar SGR station uone milango yenye sensor ya kufunguka automatically!
Hawajamaa wachafu khahivi ndivyo vitu vya kupigia kelele?
Naona sasa umeshapigika[emoji23][emoji23][emoji23]Sizungu mzii origin pimbi...na rudia swali unajua sababu ya kujengwa kwake? Alafu ujue cable stayed bridge za miaka iyo uwezi fananisha na za sasa ziko more dvloped, ila izo ushuzi wa clover leaf haujabadilik hata [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23].walio anzish wenyew wanazibadilish nyie mpo meganda 1900s
KMEC toleo la kitambo sana hilo[emoji23][emoji23]hivi ndivyo vitu vya kupigia kelele?
Yaani ni wachafu... ushawahi muona Mkenya humu anaongelea usafi?Hawajamaa wachafu kha