Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwmb bus sio muhimu kuliko footbridge, ndo mwalimu wako alikufundisha hvyo [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji205][emoji205]
Footbridge Ni muhimu,hizo bus naeza ishi bila kutumia but footbridge hutumika Sana na kila mtu
 
Dah kuna hujuma kwenye huu uzi ama? Mbona picha hazifungiki huku kwangu? Au hii simu ni ya kikenya inaona wivu?
 
Most Developed city in EA😍
Screenshot_20210116-111131~2.png
 
Nilijifunza ni kwamba Kunyaland nzima wanaasili ya sifa za kijinga walizolisishwa na Kenyatta, ndo mana huwa wanaingia madeni ili mradi waonekane na wao hawako nyuma.

Wakati mwingine huwa wanachekesha sana, utakuta wamejenga tunnel road sehemu ambayo ni tambarare hahahahaaaaa[emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji90][emoji205][emoji205][emoji205]
Unateseka ukiwa wapi[emoji23][emoji23]
 
Nyinyi huwa mkishindwa mnaanza kusema eti sisi ni watu wa sifa.

Cc ichoboy01
Wakishindwa husema hicho kitu kwao sio kipaumbele[emoji23][emoji23]
Ila wakifannya kunengua day ya uzinduzi lazma, mpka rais hakosi lazima na yeye ajiunge na wanenguaji..
Si wajua yeye ndio mpiga ngoma
 
Serekali bongo inafanya mpka biashara ya guest jamani[emoji23][emoji23]
Wananchi mumezembea wapi lkn, daycare pia ni wao
Kawaida kwenye serikali za kijamaa huduma bora kabisa ziwe za afya, elimu, usafiri etc huwa zinatolewa na public sector zaidi kuliko private, ninyi public sector ipo hoi mfu
 
ishu siyo kupitia kwani isipokuwepo haziwezi kupita hizo.....

mnamatumizi mabovu ya kifedha....mnaweka interchange/fly over sehemu hata ambazo hazina umuhimu...

mko hivyo
Sasa ulipofikia mjadala nimeona umekua mpuuzi, yani traffic yote kule eldoret ilkua hata siku mnakaa leo unakuja we mjinga unapinga kuwepo kw interchange...

Kweli ujamaa ni ulemavu wa kila kitu
 
Kawaida kwenye serikali za kijamaa huduma bora kabisa ziwe za afya, elimu, usafiri etc huwa zinatolewa na public sector zaidi kuliko private, ninyi public sector ipo hoi mfu
Mpka guest na daycare[emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa wananchi nyie si mumebakia na ukulima tu..
 
Back
Top Bottom