Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Lia tu, na floating bridge inachapa job
Siku hizi mmebaki kusema INACHAPA KAZI yn mmetoka kubattle quality mmebaki na only quantity ss kwn tumesema haichapi kazi? Hapa tunaongelea quality, mara utasikia mkisema "ndiyo ni mtungi wa chang'aa lkn unachapa kazi" kwahiyo zetu ambazo ni quality hazichapi kazi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Yaani nimeangalia hiyo floating bridge nikalinganisha na ile render ya Likon Bridge nikatamani hadi kulia. Tumuonee huruma jirani msiba wake ni msiba wetu[emoji28][emoji28]
 
Umefika Nairobi mkuu...au Kampala...the same situation..labda pale Kigali ndo hakuna hayo Mambo.
 
[emoji38][emoji38][emoji38]watu matumbo ya uzazi yameanza kucheza huko.

kweli nimeamini tuko serious na hili jambo letu la kuiweka tz nafasi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…