Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ila JPM afanye maarifa majengo ya NSSF yaishe yani ile hotel Mwanza na Mzizima towers. Yanakaa yanaanza kuoza! Si sawa kutelekezwa, tayari fedha za mfuko zilishawekezwa na miradi ile utekelezaji wake upo zaidi ya 60%! Ni sabotage kuyaacha vile ikizingatiwa ita-create ajira!
Hotel ya mwanza ilishaisha kazi iliyobaki ni Akipatikana mwendeshaji inamaliziwa kwa matakwa ya mwendeshaji.
Habari za chini chini kuna kampuni ya hotel kubwa imeonyesha interest, do ngoja tusubiri.
 
Tuonyeshe mradi wowote wa kenya ambao tumeupa jina the most,modern, nk.
Hyp ndio hulka yenu bana
Tena wewe ndio unyamaze kabisa
sgr yenu, thika highway ,ilifika kipindi mkaanza hadi kuzifia nganya ...dooh [emoji75] [emoji23]
 
Hawana uwezo wa kuheshimu render cz hawana pesa, ona the real MIC inavyoheshimu render [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1676178View attachment 1676181
Ngoma inatoka kama ilivyo....

Tz hatar sana....

ujue mi ni mkenya purw na huku kwetu kenya tushazoea kudanganganywa ...ila leo imenibidi nikubali Tz ni noma[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila najivunia kuwa mkenya
 
LAKINI BADO NYINYI MASKINI MBELE YA KENYA
Aliesema nani🤣🤣🤣👇👇👇
43AD92A4-318E-4658-8F6B-42FA0BFD67B6.jpeg
 
Back
Top Bottom