Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I Guess one had already payed for the maize....which means who gonna starve to death ....?!unless somebody makes his way back to TZ to buy more grains....and that would translate into even more money to Tanzanian pockets ... I hope your poor infrastructure also lets next the truck-filled with maize go under water at Likoni ..........your folks are such serial costumers for Tanzania farmers
🤣🤣🤣🤣🤣Maize vs truck,, which is more expensive???hasara kwenu
 
huku chato kulipojengwa uwanja wa ndege nilikuwa nahofia ATCL watapataje wateja wa kutosha kwa kila safari continually... ila naona mkuu kawa smart.. anajitahid kuhakikisha anaweka vitu huko ambavyo pia kwa kupitia ndege vitafikika kwa haraka
1. kuna veta
2. national park
3. referral hospital
4. migodi
tutegemee vitu vingine zaid ambavyo kwa usafir wa ndege kutafikika haraka

japo watu hawapendi lkn ndo hivyo mkuu anataka kupaendeleza huko.. anyway wanaopelekewa hivyo vitu ni watanzania wenzetu pia [emoji2]
 
Kuna Hotel mbili za Mzee , Kwa mwezi huu wa delegations kadhaa zipo fully booked . Mzee ana Akili sana, Build it , they will come[emoji3].
 
Tulikua wapi waafrika kiasi kwamba hatuwezi kujenga madaraja bila kampuni za nje kwa kifupi hakuna tunachoweza zaidi ya kupanga
 
huku chato kulipojengwa uwanja wa ndege nilikuwa nahofia ATCL watapataje wateja wa kutosha kwa kila safari continually... ila naona mkuu kawa smart.. anajitahid kuhakikisha anaweka vitu huko ambavyo pia kwa kupitia ndege vitafikika kwa haraka
1. kuna veta
2. national park
3. referral hospital
4. migodi
tutegemee vitu vingine zaid ambavyo kwa usafir wa ndege kutafikika haraka

japo watu hawapendi lkn ndo hivyo mkuu anataka kupaendeleza huko.. anyway wanaopelekewa hivyo vitu ni watanzania wenzetu pia [emoji2]

Ila JPM afanye maarifa majengo ya NSSF yaishe yani ile 5 star hotel Mwanza na Mzizima towers (office n hotel and residential towers). Yanakaa yanaanza kuoza! Si sawa kutelekezwa, tayari fedha za mfuko zilishawekezwa na miradi ile utekelezaji wake upo zaidi ya 60%! Ni sabotage kuyaacha vile ikizingatiwa ita-create ajira!
 
huku chato kulipojengwa uwanja wa ndege nilikuwa nahofia ATCL watapataje wateja wa kutosha kwa kila safari continually... ila naona mkuu kawa smart.. anajitahid kuhakikisha anaweka vitu huko ambavyo pia kwa kupitia ndege vitafikika kwa haraka
1. kuna veta
2. national park
3. referral hospital
4. migodi
tutegemee vitu vingine zaid ambavyo kwa usafir wa ndege kutafikika haraka

japo watu hawapendi lkn ndo hivyo mkuu anataka kupaendeleza huko.. anyway wanaopelekewa hivyo vitu ni watanzania wenzetu pia [emoji2]
Universities nasikia kama 2 ivi
Kiwanda cha kuchakata nyama
Kiwanda cha kuchakata Samaki
 
Attachments

  • Screenshot_20210113-115233_Facebook.jpg
    Screenshot_20210113-115233_Facebook.jpg
    98.5 KB · Views: 13
Tanzania kuna umasikini lakini hatujafikia huo umasikini wenu wa kutisha najua unajua ila huwezi kubali humu.

Masikini wa Tanzania ana uhakika wa kula mara mia zaidi ya masikini wa kenya failed state.

Hiyo screeshot ndio last kick yako [emoji23][emoji23][emoji23]
It's not just a screenshot bongolala, it's a world bank report about extreme poverty in Africa na hapo mko tatu bora. And remember, those are extreme poverty cases, bado kuna wale wa moderate poverty just in case you didn't know
 
Kenya masikini wameisha?
 
Universities nasikia kama 2 ivi
Kiwanda cha kuchakata nyama
Kiwanda cha kuchakata Samaki
University zipi mbili? watu wa mkoa wa Mara lazma wam-mind alipoingia madarakani alisimamisha mradi wa Mwl Nyerere University of Agriculture, ambapo ardhi ilikuwa ishanunuliwa na mipango ilikuwa at very advanced stages!
 
Back
Top Bottom