Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa nini Wakenya wakiiuzungumzia Kenya hawazungumzii sehemu zingine zaidi ya Nairobi na Mombasa, wakati watanzania wanatoa mifano hata ya mikoa 10

Dar, Dodoma, Arusha, Mwanza, Mbeya, Iringa, Tanga, Morogoro, Kilimanjaro, Ruvuma, Mtwara...

Kwa nini Kenya waliaacha maeneo mengine ya Nchi??
Pamoja na kwamba huko kwengine ni majalalani lakini pia wana ukabila wa kutisha, kwa Tanzania ni kawaida mtu wa kusini kuisifia kanda ya ziwa na haoni tabu sababu ni Tanzania ila wao mjaluo hutoona hata siku moja anasifia kwa wakikuyu au wakalenjin yaani hilo ni kosa la jinai, so ukiona wote ni Nairobi tu jua ni sababu za wivu wa kikabila japo Nairobi ni kwa wamasai
 
Basi ni hio utaonesha only GTC real density hakuna hapa🤣🤣🤣🤣🤣
Wapi Gtc hapa
EFiowVO.jpg
FB_IMG_16081994002659761.jpg
2294782_IMG_20191203_193118.jpg
 
Kwenye world's market, bei ya zagamba wa Kikenya ipo juu kuliko gold sababu anafanya kazi kama farasi alimradi umpe uhakika wa lishe 🤣🤣

Wakenya kumbe mnapatikana kwa bei cheap tu sasa mbona watu wa Burundi wanakula wenyewe tu huku? Sababu wao ndio huajiriwa kwenye mashamba ya watanzania mikoa ya Katavi, Geita, Kigoma, Kagera wakati wakenya pia mpo 🤣🤣🤣

Njooni hata sisi watanzania tuna uchumi wa kuwanunua 😅😅
We got unbeatable prices
Screenshot_20210112-080002~2.png
 
Kwa nini Wakenya wakiiuzungumzia Kenya hawazungumzii sehemu zingine zaidi ya Nairobi na Mombasa, wakati watanzania wanatoa mifano hata ya mikoa 10

Dar, Dodoma, Arusha, Mwanza, Mbeya, Iringa, Tanga, Morogoro, Kilimanjaro, Ruvuma, Mtwara...

Kwa nini Kenya waliaacha maeneo mengine ya Nchi??
Atakama hatuongelei zaidi ya Nai na mbo,,Wajua vizuri tukileta akina kisumu, Nakuru, Eldoret,Thika,Nyeri,kakamega,kilifi,
malindi, na machako hamtaweza🙊🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Atakama hatuongelei zaidi ya Nai na mbo,,Wajua vizuri tukileta akina kisumu, Nakuru, Eldoret,Thika,Nyeri,kakamega,kilifi,
malindi, na machako hamtaweza🙊🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😆😆👌Mbona hutaji Turkana,wajir,mandera na Moyale?Sisi Tanzania 🇹🇿 tunataja kona zote za nchi.
 
Mpaka inatia huruma usafiri wa Nairobi ni wa shida kiongozi kuna kipindi tulikua tunatoka mtaa mmoja uitwao Eastleigh tukielekea odeon cinema Nairobi sehemu wanapo bebea umbali wake ni kama kutoka mawasiliano mpaka Tabata camp Ila nauli ilikua ndefu kisa mvua inanyesha,hakuna mfumo Wala utaratibu kila mtu anapandisha nauli anavo kuskia
Hawapo digital kama sisi kwenye kutumia uber .
 
Back
Top Bottom