Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sitting presidents who have once studied in Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Ramaphosa ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ
Mnangagwa ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ผ
Geingob ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฆ
Nyusi ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฟ
Ndaishimiye ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ
Kagame ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ
Museven ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ
Kiir ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ธ


 
naomba unijibu swali langu na hili swali sitakuuliza tena nairobi 88 ilianza ujenzi rasmi lini ???????๐Ÿคฃ
 
Wakenya ni wajinga sana leo hii wanataka kujifanya hawajui ujenzi wa nairobi 88 ulianza lini wakat 3 yrs back walikua wakiitaja pinnacle, montave na nairobi 88 leo hii wanajitia hawajui๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Umechanganyikiwa. Hakuna mahali knbs imesema kuwa Kenya ina 80k of paved road
ndiyo maana huwa tunawaambia kuwa hizo fact zenu on paper asilimia kubwa ni cooked huwa mnapenda muonekane tu kwa possition ila reality kwenye ground hampo njema kama jinsi mnavyojitutumua....

kwenye uhalisia wa maisha kenya si kitu.....kuna vitu inabidi mkubaliane navyo tu...
 
Hio barabara ni ya lane moja. Ikishapigwa markings itakuwa na lane moja kuenda na lane moja kurudi. Sisi tuna dual carriageway nyingi tu.
Tutajie barabara moja dual carriage yenye urefu wa 100+km.
Tafadhali.
Kutoka wapi kwenda wapi.
 
Wakenya ni wajinga sana leo hii wanataka kujifanya hawajui ujenzi wa nairobi 88 ulianza lini wakat 3 yrs back walikua wakiitaja pinnacle, montave na nairobi 88 leo hii wanajitia hawajui๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Ilianza kujengwa 1920
 
Wewe hujanielewa. Naton Jr ndio alikuwa anasema uongo mwamba KNBS ilisema Kenya ina 80k of paved roads. Nilipomuuliza atoe ushahidi akashindwa kabisa. Hamna mahali popote ambapo KNBS imesema kwamba Kenya ina 80k of paved roads. Huo ni uongo wa Watanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ