Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wote mnachemsha so hamtafika muafaka, tumieni angalau Road codes zaweza saidia
 
Bongolala, I know you are so desperate na pia uko na mauchungu kuona hili jengo linajengwa. This is 88 Nairobi ( a screenshot from a live Webcam from their website).Nionyeshe hilo jengo lenye net ya green iko wapi hapa?
 
View attachment 1674630
Nimeitoa humu page ya 5 fungua mzeeπŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Hii zonal hospital itagharimu zaidi ya billion 50 itakua kubwa huenda kuliko hata bugando au itaikaribia bugando, wananchi kutoka DRC, Burundi, Rwanda, Uganda wataitumia

Kwenye afya tupo level nyingine
Chato ndio center ya lake zone?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…