Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Update data zenu. Wacheni kuwa washamba. Sasa unatulilia sisi Wakenya tukusaidie aje? Ambia serikali yenu iwache kuzembea iupdate database yenu ya barabara
Sasa Tony254 database time update siyo kwaajili ya public. Tutaiweka kwenye public mwaka 2035. Sasa hivi vumilia tu. Utaona google maps ikibadilika.
 
Gari moja ni between ksh 10 million to ksh 28 million na wameuza more than 400 cars. Nchi yenu masikini haiwezi kuafford kununua posche zaidi ya 400 in 5 years. Sales ya ksh 5 billion unadhani ni mchezo?
evidence yote yameuzwa Kenya? ukipata over 30% i will quit JF!
 
Toptorn wacha kulialia. Huyu Venus Star pia anajirudia. Yeye keshapost Dar to Mwanza ambayo lazima upitie Dodoma halafu tena sasa hivi amepost Dar to Kigoma ambayo pia lazima upitie Dodoma. Kwa hivyo hata mwenzako venus star anajirudia, kwa hivyo wacha kulialia. Wacha sindano ipenye.
Yeye karudia moja tu baada ya kuona wewe umerudia nne
 
IMG_20210111_102942.jpg
IMG_20210111_102945.jpg

Isiolo stadium, making great strides.
 
Naomba uangalie price ya show room, sitaki upuuzi tafadhali.View attachment 1674453
Hio sio price ya showroom unavyodhani wewe. Wewe kwa kuwa slow learner unadhani kuwa wanazungumzia price la jengo lenyewe lakini wao wanaongea kuhusu "showroom price of posche cars" yaani bei la showroon la gari moja. Chanuka mzee wacha kuwa slow learner
 
Gari moja ni between ksh 10 million to ksh 28 million na wameuza more than 400 cars. Nchi yenu masikini haiwezi kuafford kununua posche zaidi ya 400 in 5 years. Sales ya ksh 5 billion unadhani ni mchezo?
Mpuuzi huyo, ana ngangania gharama ya showroom huku akikwepa na bidhaa
Achana nae yani, kwn hajui showroom sio jengo tu mpka mzigo lazima ulinganishe
 
Mzee nataka unionyesha neno "paved" maana sijaiona. Kuna aina nyingi za barabara ikiwemo murram road, bitumen na kadhalika. Hio 80k ni mchanganyiko wa murram na bitumen/ asphalt
kwahiyo roads kwenu humaanisha pia not paved? basi kwenye hiyo 9,000 km kuna gravel roads pia!
 
Kazi inaonekana, ninyi mnajenga kwenye makaratasi
Umepanic kuskia kutoka nairobi-moyale, mandera yani kule jangwani unachanja mbuga ukiwa juu ya quality road..
Tayari moja umeipost mwnywe hapo juu

Sasa sijui mtatatja wapi maskini wa Mungu
 
Hio sio price ya showroom unavyodhani wewe. Wewe kwa kuwa slow learner unadhani kuwa wanazungumzia price la jengo lenyewe lakini wao wanaongea kuhusu "showroom price of posche cars" yaani bei la showroon la gari moja. Chanuka mzee wacha kuwa slow learner
Nakuambia angalia show room prices na uone idadi ya gari zilizouzwa, hyo bil5kshs ni accumulation for 7yrs, na I bet hzo gari nying zimenunuliwa Tz cz huwa naziona porsche nyingi huku.
Screenshot_20210111-113938.jpg
Screenshot_20210111-113843.jpg
 
Back
Top Bottom