Kuna kiwanja chochote kikubwa kwenye Taifa lolote ambacho hakijawahi kuchezesha match yenye team kutoka nje ya Taifa lao (concept of being international)
Kwa hiyo viwanja vyote vijiite international? Hivi wakenya akili zenu huwa zinakaa wapi?![]()



jamaa ni mshamba na mbishi sana gorma goma sikuhiz kumbe inacheza rugby!??







ajabu hiii!!