Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Njaa haidanganyi....middle economy ya kwenye makaratasi munashindwa kujilisha😀😀😀😀
Alafu vile njaa imewakutia pabaya .......
Angalia ethiopia ni jangwa lakin anawauzia chakula
View attachment 532790



IF we Can buy then whats your problem. ...alafu some neanderthal anadanganya ati most of ethiopia ni desert ...I Can remember from my class 6 that the great rift Valley also passes through ethiopia and its a very mountanious country with big Highland.....eg the tibesti,Ras Dashan,semien mountains. And currently ethiopia is also saying that they dont have sufficient food reserves.
 
Habari ya mtetezi wa Dar Is slum......tembea uone mengi maisha ya uswazi ni duni
ha haa safi sana mwanangonjera uko nishafika pia hata mashariki ya mbali.....hamna kitu hapo nairobi......zaidi ya kulifanya jiji kuu kuwa jiji la ufugaji wa sungura nairobi.......ni kibanda cha nguruwe

kwa taarifa yako ukiona m'bongo anabishana ujue sehemu anaijua ama kitu anakijua ......sisi hatubishanagi kwa makelele yasiyo na mantiki ndiyo maana kipindi cha nyuma tulikuwa tunakaa kimya huku nyie mkibwatuka
 
Nairobi!!!
DDYfQWEW0AAt9Rv.jpeg
 
ha haaa mnalazimisha jiji liwe na wanyama pori.....
aisee mnashida sana mnatumia nguvu sana ili watalii wafike hapo

wakenya bwana naona mpo na city of jungle
Yep. One of a kind Major City in the universe. Where Concrete Jungle meets Natural Jungle 😀 😀 😀
 
ha haaaa wakenya bwana......mnavituko .......huyu jamaa nahisi ametumia tu mgongo wa kuandikwa jina la mmbwa ila kiuhalisia hiyo siyo sababu maalum sababu husika ni umaskini amekwepa majukumu.....wakenya ni wapuuzi sana
ceb3eaf573af384a17dc2b06b9ebd661.jpg
 
We were developing roads and Dar was developing towers between 2010-2015. Now we are back to the towers 2 years and 40 towers are going up at a go.Hehehe.....Sisi ni wale wasee.Lusematic toka uswazi kwa makonda uone real cities
nitoke mara ngapi.......city yenu haijanivutia..........

hafu nyie ni wepesi sana kutapeliwa........ni wajinga mnaojifanya wajanja
 
We were developing roads and Dar was developing towers between 2010-2015. Now we are back to the towers 2 years and 40 towers are going up at a go.Hehehe.....Sisi ni wale wasee.Lusematic toka uswazi kwa makonda uone real cities
zitaje hizo 40 towers tusikie😀😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom