Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watanzania wezangu as an computer science(IT) student nahitaji kufanya project last year. Naombeni project proposal idea ili kufanikisha ili jambo?
Wewe mtanzania wa wapi?. Jina umeomba hapa kwetu au kuna majina kama hayo tz
 
Dar city aerial view pembezoni mwa jiji

eaa00cee6e422d29321225c95ecf03e1.jpg
6c6546279eed1fa643b8f8726acaf60d.jpg


yule mshamba wakikenya aliyesema hapo city center hebu cheki.......hapo.....na wale washamba wengine wakikenya mnaoleta jangwani ...wakati huku hatuna jangwani jioneeni hapo
33596ff15373182c3895a4f1ea9c116e.jpg


dar city
c3714c542d9ec76aa8eab1e7b5923568.jpg
 
Si nyie mna moja afu mnaigawa kwa vipande hapa, na usije ukasema kariako ni cbd tena juu hua tuna ifananisha na githurai 46
Jipe moyo nilishawaambia karikoo sio size yenu
the biggest and busiest market in east and central africa😀😀😀😀😀
Maana wakenya wakiiskia kariakoo hua wanaogopa sana sijui kwann
 
Njaa haidanganyi....middle economy ya kwenye makaratasi munashindwa kujilisha😀😀😀😀
Alafu vile njaa imewakutia pabaya .......
Angalia ethiopia ni jangwa lakin anawauzia chakula
Screenshot_20170630-053515.jpg
 
Back
Top Bottom