ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
world class with a lot of biggest slums in the world😀😀😀😀😀😀😀Nairobi is a world class metropolis
![]()
world class with a lot of biggest slums in the world😀😀😀😀😀😀😀Nairobi is a world class metropolis
![]()
hauna maana....kaka bora ukafuge kuku wa kisasa upate kipato zaidiGo to skyscrapercity kenya ujionee........30% in Africa ndio zetu hapa mjini Nairobi
matusi unayo jameni ndugu yangu,mbona unambiye hayo?hauna maana....kaka bora ukafuge kuku wa kisasa upate kipato zaidi
Hua wanasema eti wana cbd tano na ukiangali vizuri ni moja, nikama uchukue kenyatta avenue useme ni cbd peke yake.Cbd dar ni moja
nimeteleza aisee.......kuna baadhi ya wakenya wenzako humu huwa wanaubishi wa kijinga........hiyo ilikuwa ni quote ya mwingine nimechanganyamatusi unayo jameni ndugu yangu,mbona unambiye hayo?
wewe spenzia hiyo akili yako ni yakimatamvua acha utoto unakuwa na akili za wanyama poriHua wanasema eti wana cbd tano na ukiangali vizuri ni moja, nikama uchukue kenyatta avenue useme ni cbd peke yake.
umeona neno 'Major' hapo? National Parks zinaweza kuwa popote pale. but hapa nimeangazia the main Capital city. kama Mwanza ni Capital City ya Tz, then you are right.mwanza pia inayo national park within the city usijipe moyo sana😀😀😀😀
Jitaidi kutengeneza pesa at least uweze kuvuka border uje kula bata Tanzania ,ndugu zako kibao nilikuwa nao weekend iliyopita Arusha city wanakula bata mpaka wanasema hawataki kurudi homeI was busy making cash. ........what were the LDC guys saying.
mpige foleni niwaskie
safi ......watakuletea zile nyumba zao za kota ......zile zile zilizopo pembeni mwa CBD zao...pengine hawapaonyeshi wanapafichaWakenya niambieni posh area zenu nairobi ni zipi, kama nyie mmekariri masaki,mikocheni,osterbay,mbezi beach,bahari beach,msasani etc. ...nitajieni yakwenu then kama itakua poa mkiweka na picha kabisa
hili la wakenya kuja kula bata bongo na kutotamani kurudi kwao kenya ni kawaida sana,nililigusia siku chache zilizopita.Jitaidi kutengeneza pesa at least uweze kuvuka border uje kula bata Tanzania ,ndugu zako kibao nilikuwa nao weekend iliyopita Arusha city wanakula bata mpaka wanasema hawataki kurudi home
hatukakatai,nairobi kuna raha sana but raha za dar es salaam hazina mpinzani EA.kuanzia warembo,vyakula na mziki mzuri.
imagine even some of your underrated music artist like this very talented guy who calls himself anto neosoul admirers dar so much.
![]()
![]()
![]()
ha haaa walete ya mbongo anayeisifia nairobi........kama utapata hata moja zaidi watazipata za wakina alikiba wakisema thsnks kenya for show lovehili la wakenya kuja kula bata bongo na kutotamani kurudi kwao kenya ni kawaida sana,nililigusia siku chache zilizopita.![]()
![]()
![]()
![]()
Hahahaha.... luse kwa maneno ya shombo zikuwezi iseeeha haaa walete ya mbongo anayeisifia nairobi........kama utapata hata moja zaidi watazipata za wakina alikiba wakisema thsnks kenya for show love
....ila ni kweli nara nyingi captions za wanamuziki wa kibongo wanapokuwa wana-perform kenya huwa zinasema "thanks kenya for the love you showed me during my music tour."...angalabu sana kupata diamond au kina akiandika kenya is my second home.
hawa ......majamaa tubaki kuwashangaa tu......wanatufurahisha tu.....ni wapuuzi kupindukiaHahahaha.... luse kwa maneno ya shombo zikuwezi iseee![]()
![]()
![]()
![]()
....ila ni kweli nara nyingi captions za wanamuziki wa kibongo wanapokuwa wana-perform kenya huwa zinasema "thanks kenya for the love you showed me during my music tour."...angalabu sana kupata diamond au kina akiandika kenya is my second home.
wanyama na eric omond wamewahi kuandika/kutamka "tz is my second home".
wapi celebrity mtz amewahi tamka kenya is my second home?.
Jitaidi kutengeneza pesa at least uweze kuvuka border uje kula bata Tanzania ,ndugu zako kibao nilikuwa nao weekend iliyopita Arusha city wanakula bata mpaka wanasema hawataki kurudi home
acha upuuzi m.pesa aliyewaletea huko ni mbunifu kijana wa kitanzania baada ya kushindwana na mitandao ya simu iliyopo huku....hivyo kwa M.PEsa futa kabisa kichwani mwakoI would like to introduce something that Kenya is well known for worldwide and has a high rank globally.
INNOVATION. Kenya iko na ujuzi mwingi.Kenyans are innovativein all fields for example in the IT sector the idea of mobile money transfer was conceived in kenya (M-PESA)
going to the medical field, kenyan doctors recently rolled out the HIV&AIDS generic drug DTG which was even first approved by the USA in 2013
EVERY YEAR kenya has a list of innovations to present at the global innovation competitions like in 2016 kenya micro clinic technologies bringing home the award and just 3 days ago kenya ranked 3rd in africa after SA and Mauritius
we have something to present to the world.
Hahahaha.... luse kwa maneno ya shombo zikuwezi iseee![]()
![]()
![]()
![]()
....ila ni kweli nara nyingi captions za wanamuziki wa kibongo wanapokuwa wana-perform kenya huwa zinasema "thanks kenya for the love you showed me during my music tour."...angalabu sana kupata diamond au kina akiandika kenya is my second home.
wanyama na eric omond wamewahi kuandika/kutamka "tz is my second home".
wapi celebrity mtz amewahi tamka kenya is my second home?.
acha upuuzi m.pesa aliyewaletea huko ni mbunifu kijana wa kitanzania baada ya kushindwana na mitandao ya simu iliyopo huku....hivyo kwa M.PEsa futa kabisa kichwani mwako