kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,755
victor wanyama hakuja tz kibiashara,alikuja kula bata na kufanya vacation but alitamka tz is like my second home.chukua hiyo na uhifadhi kwa kichwa yako.trust a Kenyan if he wants to make money from you......atakuambia Dår is the best city in the World.