Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sijakuambia uandike insha[emoji23][emoji23][emoji1787]
10yrs only imetosha kuwa super power East and Central Africa, kweli Africa nchi nyingi ni maskini wallahi, just imagine mmepambana since Uhuru lkn cc wala hatukuwa busy na uchumi but 10yrs tumeanza vita vya kiuchumi tushawagaragaza [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Show me anything Tanzania is ahead of Kenya and I will show you a long sleeve brah[emoji23][emoji23][emoji1787]
 
Boss kama hii international hotel ni water tank pia ni sawa. Hii ni hoteli ya Radisson group mshamba kutoka Lazyland anaiita water tank. Pengine hata hujawahi kanyaga ndani ya hoteli yoyote ya Radisson na upo buzy kurusha matusi kwamba jengo hili ni water tank
Hoteli kama hii sio ya hadhi yako.



Mjinga wewe naomba utazame hio screenshot niliyokuwekea uone kwamba hapo chini imeandikwa "Book this hotel from USD 74.70". Yaani kubook hoteli pekee tayari lazima uhare USD 74 na bado hujaanza kuspend kwenye food wala rooms. Wacha mchezo dogo. Hili sio water tank na sio hoteli ya hadhi yako. Jikite kwenye mama ntilie.
 
so what? wewe unajua twitter handle yangu?
Sijui twitter handle yako lakini niko sure una less than 5,000 followers. Tanzanians don't like twitter. Mnapenda instagram kwa sababu ya kutazama mapicha maana kusoma maandishi ya kiingereza ni tatizo. Kuna very few Tanzanians on twitter, ama unabisha? Africa nzima inatujua na kutuogopa sisi Wakenya kwenye twitter.
 
Pole kwa maumivu.
Nilikuwa nakuuliza tu utoe suggestion.
Kwa upande wangu design yake inafanana na water tank.
 
$75 kwenu ni pesa nyingi eh? 😂😂😂😂
 
Pwahahahahaha!!! Prove please.
 
Wewe sidhani kama umeshawahi kukanyaga mlango wa hoteli! Kama USD 74.40 Ndio gharama ya kufanya reservation, hiyo hela ya “rooms” unayoongelea ni ipi?
 
twitter handle yangu haikuhusu na hautakaa uipate!
 
l.
Bandari? Bandari? Bandari gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…