Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Let's get it right here! Ni design(3level) imewapa orgasm ama quality? Coz this road looks sooo simple(a criss-cross) that a certificate holder in structural engineering anaweza design na kujenga honestly, kama ni mambo ya quality, it is time that tells sio muonekano tu ndugu tuusan😂😂😂 quality sio sura😂
 
We jamaa ustikosee heshima hiyo eldoret level zake ni moshi Kilimanjaro .mji una gorofa moja .?unakichaa wewe .
Ulitazama video clip ama ni kulia lia tu eti ghorofa moja?😂😂😂., residentials je?., tulia tu uliko.
 
That is not what your chief propagandist officer bwana Giza implied bro![emoji23]., ata Burundi with such a strategy can deliver though over some period. Thank you for clarification and destroying propaganda![emoji16]
Sasa mmeshindwaje kufika malaba..kumalizia SGR yenu..inaamnisha pesa hamna mnasubiri mchina awakomboe kwenye kila project...

Pamoja na kukopa ovyo..

Ushaona wapi contractor analipwa hela yote kwa pamoja it all depends with contract lifetime ..kama ni 3 years basi atapewa 1.3bil over that period depending on how they complete the job

Pia we have many projects going on the same time
Kama
hydropower project 2115 me
Bridges over 4 big bridges under construction
Moro-Makutupora line
Over 1000km of roads underconstruction
3 big zonal hospitals under construction
And many more
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…