Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yeah hili lipo wazi ila trust me kwa Magu watakua na supervision ya kufa mtu, pia ujue hii kitu ni pesa yetu yote kwa hiyo lazima wajenge kwendana na viwango vyetu.
Acheni kuongea upupu hapa, mnafikiria dunia nzima nani anamuingia mchina katika sekta ya reli
 
Mna uhaba wa madarasa nchi nzima na hyo ni fact, sasa hapo mumendelea wapi katika sekta ya elimu..

Au maendeleo ni kufanya vitu ambavyo mwenzio kakutangulia karne iliyopita[emoji1787][emoji1787]

Kweli maskini akipata matako hulia mbata..
Yani mumejenga madaraja, barabara karne hii basi mnajikuta hamna km nyinyi dunia nzima[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hii walishatii kwamba hawana [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mombasa mariakani 4lanes zege plus interchanges na viaducts[emoji1787][emoji1787]
Acheni kulaghaiwa na maneno ya majukwaani wazee wa pesa za ndani
 
Uyu Waziri wa Mambo ya Nje ya China nahisi atashangaa sana kwa jinsi Tanzania inavyompa heshima kubwa, maana anafungua Jengo ambalo lina jina lake kama Binadamu lazima aone utofauti wa Urafiki wa China na Tanzania ukilinganisha na Nchi nyingine za Africa alizotembelea.



Na kama haitoshi atashangazwa na Nchi ya Africa ambayo ina saini mkataba wa Matrilion wa mradi wa SGR mbele yake ikiwa Makampuni ya China ndo yanayotekeleza bila sumni ya kutoka China kwake itakuwa maajabu maaana nimesikia Raisi Xi jping alikuwa ana mute simu za kenyata akiomba Mpunga...mara ya mwisho akaweka Flight mode maana kila saa jamaa anapiga simu [emoji16][emoji16][emoji16]...uyu Waziri atarudi kumsimulia Rais wake wa China kwa muvi la kutisha aliloliona Kwenye Neflix ya Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…