Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unaonekana kiazi tena cha mbeya...yani unachukua picha za matengenezo na ajali ndio unatumia kutroll hapa...ww bure kabisa unafaa ubadilishwe na jiwe
JamiiForums238863632.jpg
 
Whoever said that this bridge is no floating,, check this out

Ushuzi mtupu nimekutana nao na nmeshindwa hata kumalizia video, yn mm nchini kwangu kuna madaraja amaizing na bado mengine yanajengwa ya kuvunja records za Africa eti unaniletea huu ushuzi.

Hebu angalia daraja mbili tu zilizo nchini kwangu na bado nyingine zipo U/C.
Screenshot_20210106-171143.jpg
JamiiForums1705971313.jpg
JamiiForums-351580744.jpg
JamiiForums-1719010154.jpg
 
SGR PHASE 3: RASMI WACHINA WAMESHINDA TENDA

Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya China, Wang Yi anatarajiwa kutua nchini Tanzania kesho Januari 7, ambapo pamoja na mambo mengine atashuhudia utiaji saini mkataba wa ujenzi wa awamu ya tano ya reli ya kisasa (SGR) inayotoka Mwanza hadi Isaka yenye urefu wa kilometa 341.

Kwa sasa ujenzi wa reli hiyo kutoka Dares Salaam hadi Mwanza unatekelezwa na kampuni ya Yapi Merkezi.
Akizungumza na waandishi wa habari wilayani Chato leo Januari 6, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi amesema awamu hiyo ya ujenzi itagharimiwa na Serikali ya Tanzania kwa jumla ya Sh3.0617trillion na itajengwa na kampuni mbili kutoka nchini China.

Pia, Profesa Kabudi amesema Waziri huyo atakayetua katika uwanja wa ndege wa Chato Januari 7 jioni, atafanya mazungumzo na Rais John Magufuli na kuzindua chuo cha ufundi wilayani Chato na kutembelea mwalo wa ziwa Victoria wilayani humo kuangalia shughuli za uvuvi.

Amesema Waziri Wang Yi yupo kwenye ziara ya siku tano katika bara la Afrika ambapo kwa Tanzania atakuwepo kwa siku mbili akishiriki mazungumzo binafsi na Rais John Magufuli kisha kufanya mazungumzo rasmi ya kiserikali ya yeye na ujumbe wake.
 
Kwa hiyo Scania Tanzania waongo wakisema zinatengenezwa hapa nchini?najua Kiswahili unakielewa soma walivyo andika kwenye page Yao😃👇👇👇👇
Hizo chat zisiwachanganye,hapo kajichatisha mwenyewe kana kwamba ana-chat na scania,yaani kaleta ule ujanja wa korogocho,yaani utapeli wa kizamani sana,scania huwa hawajibu chat private za kihuni kama hivyo,hiyo ni brand kubwa
 
Ushuzi mtupu nimekutana nao na nmeshindwa hata kumalizia video, yn mm nchini kwangu kuna madaraja amaizing na bado mengine yanajengwa ya kuvunja records za Africa eti unaniletea huu ushuzi.

Hebu angalia daraja mbili tu zilizo nchini kwangu na bado nyingine zipo U/C.View attachment 1670028View attachment 1670030View attachment 1670031View attachment 1670032
boss si kila kitu ni competition lini utagrow up.....your topography inanecessitate nyinyi kuwa na hizo daraja
 
Back
Top Bottom