President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,772
- 89,799
Kuna nini humu leo!?. Vipi kuhusu masoko!? Hatuoneshani leo!? Kunyaland mambo yakoje kwenu!?
Hahahaha battle mmeitaka wenyewe na mkakimbia wenyewe 🎃🎃Today's facts.
Did you know that Kenya has twice the number of Secondary schools as Tanzania?😂😂😂
I think you should know that.
Leo nilikimbia hiki kijiwe pambe kidogo ila me bado sijaridhika na battle ya shule kukimbiwa kizembe vile 😅😅😅 me bado nna jambo languKuna nini humu leo!?. Vipi kuhusu masoko!? Hatuoneshani leo!? Kunyaland mambo yakoje kwenu!?
Chuo cha Uongozi Kibaha. View attachment 1670095
Sasa tumetoka job. Ngoja tuwaginge kidogo.Leo nilikimbia hiki kijiwe pambe kidogo ila me bado sijaridhika na battle ya shule kukimbiwa kizembe vile 😅😅😅 me bado nna jambo langu
Wakenya Tanzania sio level yenu, SGR inazidi kula kilometers

Total Secondary schools in KenyaHahahaha battle mmeitaka wenyewe na mkakimbia wenyewe 🎃🎃
Mmeniacha na lundo la shule hapa, sijui unanishaurije? 🎃🎃🎃
Huyo jamaa ni kilaza sana yaani scania ile brand kubwa yenye thamani ya millions of dollars halafu iwe na assemble plant kama kibanda ya fundi sofa😆😆😆😆Hakuna na haitokuja kutokea, yn nyie mu assemble gari za Scania zen plant yenyewe ndo hii, hebu angalia tofauti baina yenu na sisi zen utuambie nchi hipi inakaribia kufanya assembling ya ScaniaView attachment 1667689View attachment 1667692
Dagoretti High School, ipo Nairobi
BRT Sam Nujoma rd itakuwa bomba!
View attachment 1670094
Mchina lazima ajenge mpaka DRC, lengo lake awali ilikua ni kufikisha SGR Uganda na DRC, kitendo cha huyu kigogo kuja mpaka Chato kina ujumbe mzito sanahapa kidogo tutajaribu kumshawishi M7 na yey kujenga kuelekea mwanza
ila mnakumbuka uhunye na ujumbe wa M7 walienda hadi china kuomba mkopo wa SGR lkn wameambulia patupu?![]()
Hiki kipeperushi umekilokota wapi? Na mbona hujaweka evidence upande wenu? 🤣Total Secondary schools in Kenya
9,900
Total Primary Schools in Kenya
33,000
Total Secondary schools in Tanzania
4800
Total Primary Schools in Tanzania
17,000
🤣🤣😂😂👇👇
View attachment 1670111
View attachment 1670113
After a hot fly imeona ijipooze majotroo bwawa la mavi 😂😂😂😂
Jamaa naona wataka kusondwaKwn nimebisha mpnz, ila mm nishatoka uko now nataka nikulete Dar unasemaje.


Kitu nachopendea Chinese companies wapo faster sana na huyu CCECC kashakua kama mwenyeji, ana miradi chungu mzima hata daraja la Magufuli Mwanza pia ni yeye na zitakua companies 2, mobilization na machineries recruitment haitompa tabu sababu wanavyo vya kutosha tofauti na mturukimnaikumbuka hii
View attachment 1670132