Aisee safi sn kaka, najivunia hii shule.
Mbona unapenda kujitoa ufahamu wakati wote?ukipigwa na facts unageuza statement? Nmekuambia hiyo Mogadishu unayo idharau iko well planned, organised na usafi wake unauzidi Nairobi 👇👇👇👇Thanks for accepting that level ya Dar is slum ni Mogadishu👏👏👏😂
Dah umenikumbusha kuhusu Jangalasoni wimbo wake wa Usimuige Mbuzi.So ww uko tayar mtu aoneshe utupu wake mbele ya hadhara alaf unaita freedom au nyinyi mushazoea maisha kama ya mbuzi 🤣🤣🤣🤣🤣
Jamaa anapenda kubadilisha statement Sana🤣🤣🤣🤣Endelea kubadilisha magoli ili ukweli ni kuwa kila utakapo gusa utakula spana tu.
Hii kama kibo complex tuMalazy, show me something like this or shut up.
View attachment 1669543
The second picture you posted, the views from above. Danganya malazy wenzako 👇 👇 👇View attachment 1669491View attachment 1669492View attachment 1669493
Old sarenda bridge.niliwahi kuona mkenya mmoja humu ndani akidai eti dsm na tz nzima hakuna barabara nzuri. Nimekuja nimuonyeshe ukweli wa Mambo
Very funny city.
View attachment 1669554