Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 26,960
- 27,955
Are you among the 92%?🤣🤣😂👇
Are you among the 92%?🤣🤣😂👇
Ukishapanic mm huwa nafurahi sana, mana najua mda c mrefu utaanza kutukana mwishowe ban










The most developed city in EA, unapinga.
View attachment 1669541
View attachment 1669539View attachment 1669540
Kwa masoko modern hutawaona wakenya humu maana wao masoko yao yote ni ile type ya gikombaa market! 😀 😀 😀 😀Kama nilivosema jana Leo tupo sokoni naanzia Morogoro twenzetu.View attachment 1669558View attachment 1669559
Tanzanians hate facts😂😂👇👇Ukishapanic mm huwa nafurahi sana, mana najua mda c mrefu utaanza kutukana mwishowe banView attachment 1669723
Yn hamnaga picha mpya, ni hii hii mkibadili apartments mwisho kabisa expressway




I think the reason why they made it a big deal is because of the nature of the outfit..as in it depicts nudity, not because she’s barely covered! But overall, I agree with you. The gvt should not meddle in other people’s choice of clothing! If they let Bongo flavor videos full of half-naked women get away how do they even have the audacity to judge her?Who is more covered traditional African women before independence,women in bikini on beaches or women athletes.My take is that you’re a backward countryView attachment 1669672View attachment 1669673View attachment 1669674View attachment 1669675View attachment 1669676View attachment 1669677View attachment 1669678
Hahahaaaa ngj niendelee kukuchokonoa huenda ukaanza kutukana mwishowe ban













Juzi nimekutana na mzee mmoja wa kikurya akaniambia yeye alisoma Kenya primary, anakuambia yn Kenya uchawi nje nje yn hata darasani Mkenya ukimpita akigundua ww ni mgeni anakuroga.
Hata kwenye mpira hvyo hvyo wanaroga mnoo, jamaa anasema yeye alikuwa anacheza sn mpira ila baada ya kuanza kuchukua namba akarogwa akawa akiingia uwanjani tu hawezi hata kutembea.
Nilimuuliza kwn Kenya kuna uchawi wa kiasi hicho akaniambia hadhani km Afrika mashariki hii kuna nchi wanaamini uchawi km Kenya, anasema Kenya sio mchezo kwanza wanaroho mby mno, pili wachawi sn.
Dah aisee hiyo kitu ndio ikanifanya nisitake kuisikia Kenya masikioni mwangu, naiogopa sn hyo nchi. Ni juzi tu hapa yule mzee alinipa hizo habari, ss huyu jamaa jana ndo akanikumbusha.
Kweli hawa hawakukoseaView attachment 1669679






























Wewe kondoo kweli mtu unashabakia uchi wa mwanamke hadharani yani mtu anafanya show hadharani hatujafkia huo upuuzi bado 🤣🤣🤣Who is more covered traditional African women before independence,women in bikini on beaches or women athletes.My take is that you’re a backward country or all men in TZ have been having wet dreams since seeing GIGY Photos,are you all virgins????View attachment 1669672View attachment 1669673View attachment 1669674View attachment 1669675View attachment 1669676View attachment 1669677View attachment 1669678
Wewe bikira ndoto mvua hazijaisha bado!!Wewe kondoo kweli mtu unashabakia uchi wa mwanamke hadharani yani mtu anafanya show hadharani hatujafkia huo upuuzi bado 🤣🤣🤣
Hata habari umeleta wewe mwenyewe huelewi😂😂😂. He was attempting to sell and not to kill or eat. Nyinyi mnaua albino🤣🤣😂👇👇
View attachment 1669703
Takataka inaumia ATCL kupewa kibali cha kwenda Guangzhou China.Jamaa anapenda kubadilisha statement Sana![]()
ATCL ina kibali tayari cha kwenda Guangzhou China ila bado haijanza kwenda na ndio maana kwenye sehemu ya booking Guangzhou ipo, ila kwa sababu una wivu wa kishamba endelea kubisha.Hahmna international flights za kuenda Guangzhou na ndio maana hata ukisearch flights unaambiwa hakuna ndege
View attachment 1669436
So ulitaka upuuzi kama huo tuufumbie macho haiwezekani hii nchi inamaadili na sheriaWewe bikira ndoto mvua hazijaisha bado!!
Na hatuwezi kukubali kamwe.Wewe kondoo kweli mtu unashabakia uchi wa mwanamke hadharani yani mtu anafanya show hadharani hatujafkia huo upuuzi bado![]()
Mazuzu wengi TZ,basi piga marufuku wanawake kuvaa bikini coco beach.Nashangaa yenu ni sheria au sharia?So ulitaka upuuzi kama huo tuufumbie macho haiwezekani hii nchi inamaadili na sheria
Kwamba mtu akiwa coco beach anaonekana Tz nzima au sio, kichwa chako umetunza funza tu wwMazuzu wengi TZ,basi piga marufuku wanawake kuvaa bikini coco beach.






