Hahahaha. Shule za wakatoliki. Hata sisi zipo chache mno.acha maneno mingi fungua thread tu battle
Wazo zuri sana Mkuu.tukipanda miti ya aina hii kulia maeneo mengi ya Dar.. kutependezesha sana jiji.. rwanda wanatumia mbinu hii
View attachment 1669217
nashauri kama inawezekana brt yote ipandwe miti ya aina hio
ushaanza kulia tyari kabla hata ya battleHahahaha. Shule za wakatoliki. Hata sisi zipo chache mno.


Jaribu kuoridhesha shule 20 za serikali zenye majengo mazuri na mimi nitakuwekea hapa.ushaanza kulia tyari kabla hata ya battle![]()
🤣🤣🤣🤣🤣 hio ndio progress unatuonesha hapaYou forgot to post progress photos....View attachment 1669171View attachment 1669172View attachment 1669173View attachment 1669174
Hii ni private school mzee🤣🤣🤣👇👇👇I can feel your pain😂😂😂. Meru High School👇👇👇
View attachment 1669218View attachment 1669219View attachment 1669221View attachment 1669223
Naona umechanganyikiwa sasa unapost mpaka private schools🤣🤣🤣I can feel your pain😂😂😂. Meru High School👇👇👇
View attachment 1669218View attachment 1669219View attachment 1669221View attachment 1669223
Aisee mungu ibariki Tanzania umaskini wa hivi daaah mtihani Sana unapata Dogo anakula mlo moja kwa siku alafu viongozi wao ndo hawa hapa👇👇👇👇kila siku nawambia Tanzania sio level yenu upumbavu wa hivi huwez ukaupata kwetu hivi Kenya mnakwama wapi?Huyu mpiga picha mshenzi! yaani, kaamua achukue mpaka Katambuga za mwana😳😳
Wakunya wapo frustrated sn yn ni hopeless kabisa.Kitu mnatakiwa Mkijue
Humu Kuna Wakenya Vilaza 2
Wanao tumia Id mbili mbili kila mmoja
Fuatilieni Post zao Hizo ID ni Ujinga Ule ule
Id moja ina post nyingine Ina Like
Na Ikiondoka zinaondoka Zote
Ziki Rudi ni pamoja