Naton Jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 7,866
- 19,252
Mabanda ya popo 🦇🦇🦇🦇 🎃Tulia udungwe sindano😂😂😂.
Moi Girls High School, Eldoret👇👇👇
View attachment 1669184View attachment 1669186View attachment 1669187
Mabanda ya popo 🦇🦇🦇🦇 🎃Tulia udungwe sindano😂😂😂.
Moi Girls High School, Eldoret👇👇👇
View attachment 1669184View attachment 1669186View attachment 1669187
Kumbe na wewe umenote hicho kitu?Jamaa hawaja jenga shule hata moja. Shule zote walizoziweka ni za wakoloni.
Hawa jamaa aisee!! Aibu kubwa mno.
Huwezi ukakuta shule iliyojengwa baada ya uhuru wao.
Kumbe kuna omba omba wengine wanacheza home games?🤣🤣🤣Tanzanians were born to be beggars🤣🤣🤣.
Tuna uhaba wa shule na tunawafundisha 😂 😂Hii nilisema ipumzisheni 😅😅
Yaani kweli mna uhaba wa kutisha wa shule, yaani sikutegemea nitawabimiza mapema hivi? 🤣🤣🤣
Continue Crying😂😂😂. St. Michael Secondary school. Shule ni safi hakuna vumbi🤣👇👇Mabanda ya popo 🦇🦇🦇🦇 🎃
Ninyi siku hizi ni watanzania? 🎃🎃Tuna uhaba wa shule na tunawafundisha 😂 😂
Are you even listening to yourself?
View attachment 1669210
Hii nayo ingekua na mdomo ingesema inatosha sasa 😅😅😅Continue Crying😂😂😂. St. Michael Secondary school. Shule ni safi hakuna vumbi🤣👇👇
View attachment 1669212View attachment 1669214
Imekuwa kama kibwagizo kwenye shairi.Hii nayo ingekua na mdomo ingesema inatosha sasa 😅😅😅
Halafu mbona ni vinyumba vidogo hivyo? Tokea mmeanza kuvipost sijakiona cha maana hata kimoja, vyote vipo kama kiosk
I can feel your pain😂😂😂. Meru High School👇👇👇Hii nayo ingekua na mdomo ingesema inatosha sasa 😅😅😅
Halafu mbona ni vinyumba vidogo hivyo? Tokea mmeanza kuvipost sijakiona cha maana hata kimoja, vyote vipo kama kiosk
Kanakaribia kupaukaImekuwa kama kibwagizo kwenye shairi.
Kila baada ya kurasa kadhaa inatupiwa.
public school can be owned by a sociaty leta GoK schools!Sasa unapiga kelele na tukikupea mashule zetu za public mnaanza kulia😂😂😂. Tulia na hii👇👇👇
Nairobi School.
View attachment 1669169View attachment 1669170
Hizi chokoraa za chini ziliwahisha zitoke State house! hazikupewa viti zijingojeshe!
r u people ready?So we have money to pay because we are a larger economy.Stop the “port takeover” propaganda .
hizi levels mtabaki kuzionea TanzaniaI can feel your pain😂😂😂. Meru High School👇👇👇
View attachment 1669218View attachment 1669219View attachment 1669221View attachment 1669223
huo ndiyo ukwelo waliofel ndiyo huwa wanaenda kenya au uganda kutafuta unafuu ama urahisi wa elimu...Wakenya waliokua wakijiuliza kwamba mbona tuna shule nzuri hivi ambazo ninyi haitotokea muwe nazo lakini kuna watanzania wanasoma Kenya
Jibu lenu ni kwamba hao watanzania wanaosoma Kenya wanakuja huko sababu max zao haziwaruhusu kuingia upper classes, ndio maana hukimbilia Kenya na Uganda kwenye reckless education system