Gwakagwaka
JF-Expert Member
- Nov 1, 2019
- 525
- 1,424
🤣🤣🤣🤣🤣👇👇 sikia maneno ya wakenya wenzio sio yangu
Hivi huyu mwalimu ni wa kike au kiume🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣👇👇 sikia maneno ya wakenya wenzio sio yangu
Huna picha zingine!?
mkenya mwenye akili zake 🤣🤣👇👇
True. Sijawahi kuona mtanzania mwenye akili akienda kusoma kenya. Na wakirudi huwa wanahangaika sana.Wakenya waliokua wakijiuliza kwamba mbona tuna shule nzuri hivi ambazo ninyi haitotokea muwe nazo lakini kuna watanzania wanasoma Kenya
Jibu lenu ni kwamba hao watanzania wanaosoma Kenya wanakuja huko sababu max zao haziwaruhusu kuingia upper classes, ndio maana hukimbilia Kenya na Uganda kwenye reckless education system
Sasa unapiga kelele na tukikupea mashule zetu za public mnaanza kulia😂😂😂. Tulia na hii👇👇👇Huna picha zingine!?
Halafu nchi yenu ipo na shule 10 tu nzuri!? Na zina milkiwa na Catholic!?
Nimekwambia uniletee Schools owned by GoK. Mbona simple tu.Sasa unapiga kelele na tukikupea mashule zetu za public mnaanza kulia😂😂😂. Tulia na hii👇👇👇
Nairobi School.
View attachment 1669169View attachment 1669170
You forgot to post progress photos....Naona wakenya wamekimbia. Labda tuwapoze kidogo.
Tuongelee stadium.
Tunaanza kama ifuatavyo, stadium za Kenya.
View attachment 1669084View attachment 1669085
Nilijua tu lazima ulie😂😂😂 Shule zote nimepost hapa are owned by the government. Endelea kulia na hii hapa, State House Girls High School.👇👇😂😂Nimekwambia uniletee Schools owned by GoK. Mbona simple tu.
Hata kwetu Tanzania education is a service.
Umenielewa!?
Hii nilisema ipumzisheni 😅😅Sasa unapiga kelele na tukikupea mashule zetu za public mnaanza kulia😂😂😂. Tulia na hii👇👇👇
Nairobi School.
View attachment 1669169View attachment 1669170
Zote Nairobi 🤣🤣🤣🤣Nilijua tu lazima ulie😂😂😂 Shule zote nimepost hapa are owned by the government. Endelea kulia na hii hapa, State House Girls High School.👇👇😂😂
View attachment 1669179View attachment 1669180
Tulia udungwe sindano😂😂😂.Zote Nairobi 🤣🤣🤣🤣
Wajir, Mandera, Turkana, Lamu, Mombasa wanasomea maporini?
Ina maana ntakua narusha jiwe kwenye kituo cha polisi?🤣🤣🤣🤣Hii njia unajaribu kufuata unafaa ujue akina ichoboy01 walijaribu wakashindwa🤣🤣🤣 alikuwa anapaza sauti hapa venye expressway haitawaijengwa, saa kazi yake ni kulia usiku na achana😂😂. Hata wewe I would advice you to retract your statement before it's too late because we will be using it to tickle you🤣🤣
Jamaa hawaja jenga shule hata moja. Shule zote walizoziweka ni za wakoloni.Zote Nairobi 🤣🤣🤣🤣
Wajir, Mandera, Turkana, Lamu, Mombasa wanasomea maporini?