Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dogo ashukuru hilo hogo, kama sio hivyo angenyanyuliwa kama kibaka na afande onyangoro ampishe mthungu seat kwa raha zake 🤣🤣🤣

Polish_20210105_203753816.png
 
Bado
Jitegemee Srkondary
Makongo Sekondary
Mawenzi Sekondarily
Moshi Secondary School
Moshi Technical Secondary School
Mkwawa Secondary School
Ifunda Technical Secondary School
Nk.....
Orodha ni ndeefu mno.
Hana nina tens of them untouched, nawaonea huruma sababu wamekata pumzi mapema sana, nishapost chache tu ila wao ni kurudia ile St onyango kila saa
 
Back
Top Bottom