Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Is that all you know about that word? Unplanned settlements also refer to informal settlements, shanty towns and makeshift housing which all refer to slums
Si nilisema mm [emoji3][emoji3][emoji3]

Shida yao tulingane ila ndo haiwezekani [emoji375][emoji373][emoji2923][emoji117][emoji205][emoji90][emoji86][emoji87][emoji204]
 
U ignore au huna ???🤣🤣🤣 Saidia wenzio wanatafuta kitu kama hichi kwa torch kenya nzima leo siku ya tatu👇👇👇👇


Tz ipo? tuanzie hapo kwanza tukiendelea...,
 
Private schools za kenya mtaziweza kwel[emoji23][emoji23]
Private sector ukanda huu hakuna wakutuzidi jamani..
Usiombe mjadala ambao hutouweza
Baadae kidogo naomba tuanze battle ya private, hii Govt school imeonekana dhahiri kwamba wameshindwa (kwa mujibu wa Wakenya)
 
Si nilisema mm [emoji3][emoji3][emoji3]

Shida yao tulingane ila ndo haiwezekani [emoji375][emoji373][emoji2923][emoji117][emoji205][emoji90][emoji86][emoji87][emoji204]
ina maana 95%+ ya your all city/town dwellers are financially impoverished, coz such standards zimetapakaa kote kote na mwingine bila haya anajiita "the most modern, developed..." shit..., 😂 😂 😂
 
Battle nyepesi mno tulishashinda mapema sana wenyewe wanajua [emoji28][emoji28][emoji28]
Lkn mkuu ulitoa angalizo mapemaa kwmb unawangoja wajichanganye, wakaingia kweli bhn basi we wape samaki tu km wanaumia tutaweka vilainishi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Yaani saivi kazi uliyonayo ni kurudia kupost hayo mabanda ya kunguni tu tena ni primary cages [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Secondary zilikata kwenye page ya kwanza tu [emoji3]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Nioneshe plant ya scania kenya munayo assemble kwan shida nn [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usiwasemee uongo scannia[emoji1787][emoji1787]
Walichokisema wakijua[emoji1787][emoji1787]

Njoo uquote ulie
 
Watu wanapiga kelele hapa na hata hawana madarasa😂😂😂🤣🤣🤣



Hawapendi kusikia mabaya ya kwao, tafadhali avoid such news, just tickle their ego, wafurahishe tu, coz ukweli utabaki kua ukweli tu ata wapige kelele hadi sauti zifike mbinguni.😂😂
 
Baadae kidogo naomba tuanze battle ya private, hii Govt school imeonekana dhahiri kwamba wameshindwa (kwa mujibu wa Wakenya)
Who is a Tanzanian? A Tanzanian is a person who likes to deceive himself with lies and when told the truth he become bitter😂😂😂👇👇👇🤣🤣👇

 
Back
Top Bottom