Naton Jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 7,866
- 19,252
Mabanda ya ngiri 😅😅😅
Mabanda ya ngiri 😅😅😅
Nikuulize dogo, mbona matajiri wenu wanatuma watoto wao kukuja kusomea Kenya as from shule za msingi, secondary, na higher education? utapata many Tanzanians as far as Eldoret, na wengine wanapelekwa Uganda!? kulikoni Tz? Kelele tu but nothing!



alisikika chawa mmoja akiropoka toka mathare


Is that all you know about that word? Unplanned settlements also refer to informal settlements, shanty towns and makeshift housing which all refer to slums
Hapa kwa hizi design za public schools napongeza Raila Odinga when he was Prime Minister, he came up with this initiative katika shule za mashinani na low areas, na sasa Uhuru ameanza kusambaza hizi same designs in public schools in towns and Nairobi. Even though I wont support him akisimama for presidency in 2022, I give credit where it is due.
Evidence zipo nyingi.alisikika chawa mmoja akiropoka toka mathare
evidence pliiiiz
asilimia kubwa huwa ni failier.......99%Kwamba Watz wengi wapo nje kusoma kuliko Tz, hv unajisikia uharo unaoutoa?
Btw, Watz wana pesa sn wanapeleka watoto wao abroad kusoma, kwetu hyo ni km prestige, wanapeleka USA, China, India, Uganda, Malawi, SA etc, na mara nyingi kigezo ni ugumu wa elimu ya Tz, na kati ya wote hao watoto ambao huwa wakirudi wanaonekana hamna kitu ni wanaoenda Kenya zen wanafuatia wa Uganda.
bila kusahau asilimia kubwa waliokuwa wanaenda kenya au uganda huwa ni failier.....hivyo hutafuta njia ya ziada yenye urahisi wa elimuna hata tumeacha siku hizi kupeleka watoto huko.
yaani ukipeleka mtoto kenya unaonekana mshamba,una mawazo ya kizamani.
Failier? 🤔 😳 🤔asilimia kubwa huwa ni failier.......99%
ukimleta mkenya asome Tz atapata tabu sana system yetu ya kielimu ni ngumu siyo easy kama yenu....Explain why your education ranks lower in EAC?., na wengi mnasomea TZ coz ya uwezo hafifu, na masikini wenu wa kutupwa pia ni wengi EAC, na SADC! kelele tu but zero results!





Nikupe sababu?; wengi wanakuja huku ama Uganda with their weak mental structure, kazi ni kukunywa na kutongoza wanawake (clubing daily na uzembe wa kiaina), they hardly attend lectures! Nilisoma na wengi kaka nawafahamu, mzazi anatuma karo na pesa ya matumizi na ma fala wanaharibu eti wanakula raha, in our class tuliwacha wengi sana chuo kikuu when we finished kwasababu hawa ku graduate, wana miss classes sana, na kwa darasa they cannot compete, pengine wenye walianza shule ya msingi ama upili Kenya ama Uganda. Nilihurumia wazazi wa hawa stupid Tanzanians. Mzazi anajinyima anapeleka mtoto shule, na ngómbe inakula karo, matokeo ni total failures!!bila kusahau asilimia kubwa waliokuwa wanaenda kenya au uganda huwa ni failier.....hivyo hutafuta njia ya ziada yenye urahisi wa elimu
Hiyo "smartness" ya hao viongozi imeiweka wapi TZ? sijaskia watz wengi waki shinda academic award anywhere!!, achievements???, inovations??., and by the way uongozi sio tu masomo, ni hekima flani pia, even though education ni muhimu karne hii.ukimleta mkenya asome Tz atapata tabu sana system yetu ya kielimu ni ngumu siyo easy kama yenu....
ndiyo maana hata ukija kwa upande wa viongozi wa kiserikali kati ya tanzania na kenya tokea uhuru ..
asilimia kubwa viongozi wa tanzania wapo smart wamesoma zaidi kuliko viongozi wa kenya
bisha nikushut
Urahisi gani wakati Kenya's education system was announced as the strongest in Africa by World Economic Forums? 😂 😂bila kusahau asilimia kubwa waliokuwa wanaenda kenya au uganda huwa ni failier.....hivyo hutafuta njia ya ziada yenye urahisi wa elimu
Evidence zipo nyingi.
View attachment 1668887








.....some succeeded through copying, ama wanalipa wanafunzi wawafanyie projects, na kuna wengi tu walikua sharp. Not all eggs from Tz were rotten.Nikupe sababu?; wengi wanakuja huku ama Uganda with their weak mental structure, kazi ni kukunywa na kutongoza wanawake (clubing daily na uzembe wa kiaina), they hardly attend lectures! Nilisoma na wengi kaka nawafahamu, mzazi anatuma karo na pesa ya matumizi na ma fala wanaharibu eti wanakula raha, in our class tuliwacha wengi sana chuo kikuu when we finished kwasababu hawa ku graduate, wana miss classes sana, na kwa darasa they cannot compete, pengine wenye walianza shule ya msingi ama upili Kenya ama Uganda. Nilihurumia wazazi wa hawa stupid Tanzanians. Mzazi anajinyima anapeleka mtoto shule, na ngómbe inakula karo, matokeo ni total failures!!
Why google when We have pictures showing the real thing, why search for second hand information when we are the owners of the information?A description of a mere section of the whole dar!(less than 15% of 1500 sq km) largest and modern is therefore an overstatement for that matter, next?![]()
![]()
![]()
google what you have insinuated utapata jibu😛😛
yaaah ,,hiyo ni new english..........Failier?😳
Is that a new English vocabulary? Wewe ni kama miongoni mwa wale hawakubahatika kusoma Kenya![]()