Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Conversation iko wapi[emoji23][emoji23][emoji23]
Mbishi mbna leo unalialia sana
Unataka mm nikufanyie kazi yako wewe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 yani niache mambo yanayoniingizia pesa nikufanyie kazi yako wewe kisa na mkasa hasira za kukosa plant ya scania kenya
 
cheap education...easy [emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]
Screenshot_20210105-153426_Gallery.jpg
 
Unataka mm nikufanyie kazi yako wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani niache mambo yanayoniingizia pesa nikufanyie kazi yako wewe kisa na mkasa hasira za kukosa plant ya scania kenya
Umechange gear[emoji1787][emoji1787]
Tatizo wenyewe washasema tayri km AVA ndio sehemu yao[emoji1787][emoji1787]
We pinga mpka ukafe
 
Umechange gear[emoji1787][emoji1787]
Tatizo wenyewe washasema tayri km AVA ndio sehemu yao[emoji1787][emoji1787]
We pinga mpka ukafe
Uhehehhehehehhehe umekuja kumsaidia mwenzio aliehara jana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 sisi tuna assemble scania tuna plant mamaee muwe na plant nyinyi dunia isijue
 
Why google when We have pictures showing the real thing, why search for second hand information when we are the owners of the information?
Do we have a section coming close to the one I posted in any of our East Africa Cities?
Okay see the photos attached below and prove me wrong with a photo from Nairobi or Kigali.
View attachment 1668915View attachment 1668916
It is just a small section buda boss., fanya hivi., weka tu drone ata ya 2021 kama uko nayo, they concentrate in these areas umeweka humu, hiyo still photography naona imelishwa filters deadly, inakubalika kaka. We have several 'manicured' pictures too bro.., I know Dar, a modern looking place within the CBD ni less than 10% of the CBD, na the whole town meaningful developed area ni less than 15% of the whole sq km., weka tu drone video clip uone mwenyewe.,
 
Uhehehhehehehhehe umekuja kumsaidia mwenzio aliehara jana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sisi tuna assemble scania tuna plant mamaee muwe na plant nyinyi dunia isijue
Ongeza volume[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kata kijana kata kabisa
 
Private schools za kenya mtaziweza kwel[emoji23][emoji23]
Private sector ukanda huu hakuna wakutuzidi jamani..
Usiombe mjadala ambao hutouweza
the reason some arguments I just ignore., nikujikweza tu ama ka utoto flani kana msumbua 😂 😂 😂
 
Mtanzania aliyesomea kenya ni bonge la mtu sana akirudi bongo...
Hta walimu pia mnaandika waliosomea kenya[emoji23][emoji23]
.....evidence pliiiiiiiz

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hebu tutajie mtanzania ambaye amesoma kenya ambaye amesoma kenya na ana nyazifa yeyote ya juu hapa Tsnzania..
 
Nioneshe scania plant in kenya wacha maneno mengi nataka kuona plant kama hii kenya nzima ukipata nitag [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116]

Zinafanyiwa AVA...
We kataa sasa..
Kata baba, lia kabisa paza sauti[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
kizungu tumekipuuza kabisaa.

mfano wewe unaongea kizungu hujawa mzungu,na unalinda getini[emoji23][emoji23]so what special about kizungu[emoji1787][emoji1787]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom