Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,568
- 15,667
Invented by a Tanzanian 😂yaaah ,,hiyo ni new english..........
hiyo ni poa sana kwako ,chukua hiyo
Invented by a Tanzanian 😂yaaah ,,hiyo ni new english..........
hiyo ni poa sana kwako ,chukua hiyo
ndiyo maana nikakuambia kuwa asilimia kubwa waliokuwa wanakuja kusoma kenya ni failures ...huku walivurunda hivyo wanatafuta njia ya ziada sehemu yenye unafuu....Nikupe sababu?; wengi wanakuja huku ama Uganda with their weak mental structure, kazi ni kukunywa na kutongoza wanawake (clubing daily na uzembe wa kiaina), they hardly attend lectures! Nilisoma na wengi kaka nawafahamu, mzazi anatuma karo na pesa ya matumizi na ma fala wanaharibu eti wanakula raha, in our class tuliwacha wengi sana chuo kikuu when we finished kwasababu hawa ku graduate, wana miss classes sana, na kwa darasa they cannot compete, pengine wenye walianza shule ya msingi ama upili Kenya ama Uganda. Nilihurumia wazazi wa hawa stupid Tanzanians. Mzazi anajinyima anapeleka mtoto shule, na ngómbe inakula karo, matokeo ni total failures!!
Hiyo "smartness" ya hao viongozi imeiweka wapi TZ? sijaskia watz wengi waki shinda academic award anywhere!!, achievements???, inovations??., and by the way uongozi sio tu masomo, ni hekima flani pia, even though education ni muhimu karne hii.



chukua list ya marais wako wote tokea mpate uhuru kisha compare na maraisi wa Tz tokea ipate uhuru kwa education wapi waliopiga kitabu...


cheap education...easyUrahisi gani wakati Kenya's education system was announced as the strongest in Africa by World Economic Forums?![]()
World Bank pia walitoa ripoti in 2018 ranking Kenya top in Africa in education outcomes


world wide mazeeInvented by a Tanzanian![]()
Lete screenshot km alivyofanya mwenzako
Private schools za kenya mtaziweza kwelPamoja kwamba ni private schools lakini ni miozo unaonesha gate na administration blocks sababu madasa ni upupu


Ukitaka kumliza mtanzania mpe factsHupigi mtu kamba hapa, mna Govt school 105 tu na wote tunajua humu![]()



Kwani hio nimekuletea nn ushaanza kua mwehu??🤣🤣🤣🤣🤣Lete screenshot km alivyofanya mwenzako
Kuna nyingine zaidi ya hizo 3 mlizopost?Private schools za kenya mtaziweza kwel
Private sector ukanda huu hakuna wakutuzidi jamani..
Usiombe mjadala ambao hutouweza
Wasamehe mzee manake wametapika vilivyo 🤣🤣🤣🤣🤣
Mtanzania aliyesomea kenya ni bonge la mtu sana akirudi bongo...bila kusahau asilimia kubwa waliokuwa wanaenda kenya au uganda huwa ni failier.....hivyo hutafuta njia ya ziada yenye urahisi wa elimu


Atakwambia amepost shule elfu tano kumbe vyoo vya uma. 😱 👉 👉 💩
Battle nyepesi mno tulishashinda mapema sana wenyewe wanajua 😅😅😅Wasamehe mzee manake wametapika vilivyo 🤣🤣🤣🤣🤣
Conversation iko wapiKwani hio nimekuletea nn ushaanza kua mwehu??![]()



MtaziwezaKuna nyingine zaidi ya hizo 3 mlizopost?

manake hzo mlizoletewa ndio public schools, sai primary za public huo ndio mfumo wake