Sehemu gani Uganda?[emoji23][emoji23][emoji23] Ebu taja tukucheke kidogo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]😀 Wala hapo hata sio kenya, ni Uganda
Haswaa, mimi ni kondoo wa mchungaji wetu Yesu KristoKalale kondoo wewe!
Kwamba Watz wengi wapo nje kusoma kuliko Tz, hv unajisikia ujinga unaoutoa?Nikuulize dogo, mbona matajiri wenu wanatuma watoto wao kukuja kusomea Kenya as from shule za msingi, secondary, na higher education? utapata many Tanzanians as far as Eldoret, na wengine wanapelekwa Uganda!? kulikoni Tz? Kelele tu but nothing!
😀 Wewe si unafanya research? Tafuta hiyo sehemu utaipataSehemu gani Uganda?[emoji23][emoji23][emoji23] Ebu taja tukucheke kidogo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dah alooo, ametiii jameni [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]We start from the bottom going up. So ya chini ni Primary Schools, tukitoka hapo ndio sasa tunaingia Secondary schools [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]. Are you ready ama unaogopa?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umempa jibu zuri sn kwmb aache pang'ang'a aweke picha [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Wekeni mkekaDah alooo, ametiii jameni [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]
Umesahau kizungu ni kizungumkuti to our southern neighbours? 😂Link yako imekubetray[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]. Hapo ni Kenya broh hata hiyo link umepost inasema hiyo rock iko Kenya[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
na hata tumeacha siku hizi kupeleka watoto huko[emoji23][emoji23][emoji23].Kwamba Watz wengi wapo nje kusoma kuliko Tz, hv unajisikia ujinga unaoutoa?
Btw, Watz wana pesa sn wanapeleka watoto wao abroad kusoma, kwetu hyo ni km prestige, wanapeleka USA, China, India, Uganda, Malawi, SA etc, na mara nyingi kigezo ni ugumu wa elimu ya Tz, na kati ya wote hao watoto ambao huwa wakirudi wanaonekana hamna kitu ni wanaoenda Kenya zen wanafuatia wa Uganda.
kizungu tumekipuuza kabisaa.Umesahau kizungu ni kizungumkuti to our southern neighbours? [emoji23]
Explain why your education ranks lower in EAC?., na wengi mnasomea TZ coz ya uwezo hafifu, na masikini wenu wa kutupwa pia ni wengi EAC, na SADC! kelele tu but zero results!Kwamba Watz wengi wapo nje kusoma kuliko Tz, hv unajisikia uharo unaoutoa?
Btw, Watz wana pesa sn wanapeleka watoto wao abroad kusoma, kwetu hyo ni km prestige, wanapeleka USA, China, India, Uganda, Malawi, SA etc, na mara nyingi kigezo ni ugumu wa elimu ya Tz, na kati ya wote hao watoto ambao huwa wakirudi wanaonekana hamna kitu ni wanaoenda Kenya zen wanafuatia wa Uganda.
Umeona wameshatimka 🤣🤣🤣🤣Umempa jibu zuri sn kwmb aache pang'ang'a aweke picha [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nalinda getini of course 😂. Hata sasa hivi nimepewa uhamisho hadi Karen 😂 😂kizungu tumekipuuza kabisaa.
mfano wewe unaongea kizungu hujawa mzungu,na unalinda getini[emoji23][emoji23]so what special about kizungu[emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23]umeenda kuongea na umbwa kiingereza,maana kulinda gate ya karen huko kenya ni tittle[emoji23][emoji23][emoji23]Nalinda getini of course [emoji23]. Hata sasa hivi nimepewa uhamisho hadi Karen [emoji23] [emoji23] View attachment 1668833
Wewe endelea kung'ang'ana na life hapo Gongo la mboto [emoji23]
😂 😂 😂... unaumwa na maisha ya mtu usiyemfahamu hivi kwanini? Mbwa wako wengi tu sana huku. Ama nikutumie picha? 😂 😂[emoji23][emoji23][emoji23]umeenda kuongea na umbwa kiingereza,maana kulinda gate ya karen huko kenya ni tittle[emoji23][emoji23][emoji23]
sasa umepanda cheo kwenda kulinda gate za karen[emoji23][emoji23]kuna ubaya nikikusifia!!![emoji23] [emoji23] [emoji23]... unaumwa na maisha ya mtu usiyemfahamu hivi kwanini? Mbwa wako wengi tu sana huku. Ama nikutumie picha? [emoji23] [emoji23]