Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🤣🤣🤣🤣 Shule mlizopost hata hazifiki 15 wakati sie tumeweka zaidi ya 60 nchi nzima kasoro Dar 😅😅😅

Na bado ninazo hapa mpaka nachanganyikiwa 🤣
Boy uko na kichaa? No country in East and central Africa can come any close to Kenya ikija public school, umelewa na many posts mumetuma humu sasa unadhani eti basi, nimeona mkijibiwa na za msingi wengi wenu mnapinga eti private, have seen all schools you have posted, ndio maana nakuambia fungua uzi then repost all nikufunze mambo ya shule East Africa, and I bet Uganda is above you in public schools!
 
Sasa hii takataka nani alisema ni international school? Hii kitu inafanana na prison ikuwe international school?
Usinikimbie ndugu twende taratibu.

Screenshot_20210105-124730.png



Mangu high School IPO kwenye list
 
Do you understand the meaning of national Secondary schools?.

In Kenya Secondary schools are divided into categories.
1. District Schools
2. County Schools
3. Extra County Schools
4. National Schools.

Sasa wewe ukiona hapo imeandikwa national school wewe jua ni category four
Hupigi mtu kamba hapa, mna Govt school 105 tu na wote tunajua humu
 
Sasa hii takataka nani alisema ni international school? Hii kitu inafanana na prison ikuwe international school?
Ikija mambo ya education and educational facilities in East Africa hapa I can embarrass them fair and square! Utafiti upo wazi, watakupa vipicha vya the best they have, Uganda beats them clean!! Niko na research data ya EAC! hapa ni domo domo na vipicha kama kawaida😂😂, yani huu uzi uli derail long ago!,.I thought will find something meaningful kumbe bado wanatapatapa tu, feel good arguments!
 
When? Tag me right now!! been off JF for over a month you idiot, ikija miji hamjuniwezi kamwe., nawaumbua na kuwafumania, pengine wakenya wenye hawaijui hiyo dead state, kindly weka hapa hiyo thread sasa hivi nione!! do it now....,
Unajitoa akili eti?

Hukukimbia ile siku nimeanzisha battle ya unpopular countryside towns and centers between Tanzania and Kenya nikakupiga rungu mpaka ukabadili ID ndio saivi unarudi? 😜
 
Mnajengaje shule nyie
Yano km magodown hayeleweki eleweki..
Shule sio kujijengea madarasa tu kiboya boya hvo
Ila adabu mmeipata kwa ss, so mjue kwmb Tz inamaanisha nn, tumepambana mpk kufika hapa tulipo kwmb

No slums

Most Advanced public transport in EAC

Food security

Better social amenities in general

Peace, never seen in the world

Love among citizens never seen
 
Umekimbia Secondary schools umerudi kwa technicals sasa?
Hiyo sio technical ni Agricultural Secondary School of course mfumo wa elimu yetu ni tofauti na wenu

Zipo special schools kuendana na talents au ambitions za wanafunzi 🤣

Naona tumeku overdose 😅
 
Back
Top Bottom