Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hivi Wakunya mlidhani Tz ni size yenu? Mnaongopewa na vitakwimu ushuzi vya Google mkadhani ndiyo ukweli wenyewe.

Ss kwa taarifa yenu hata kwenye takwimu pia tutazirekebisha mana Magu hataki mambo ya kmy kmy kama walivyokuwa watangulizi wake, jamaa anataka dunia ijue, so just wait and see [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Faraja Secondary School


DSC_0856.JPG
_DSC4629.JPG
780.jpg
IMG_1045.JPG
 
Yaani mapema Sana tuwapige kwenye miundo mbinu yote,usafi,mpangilio,utaratibu hatuachi kitu nyuma Ila ndungu zetu mambo kama haya yanatia kinyaa Sana,hivi Kenya hakuna bwana afya? Hivi mkurupuko wa magonjwa ukitokea inakuaje?🙄
 

Attachments

  • Screenshot_20210105-091100_DuckDuckGo.jpg
    Screenshot_20210105-091100_DuckDuckGo.jpg
    71.3 KB · Views: 16
  • Screenshot_20210105-091042_DuckDuckGo.jpg
    Screenshot_20210105-091042_DuckDuckGo.jpg
    63.5 KB · Views: 17
  • Screenshot_20210105-091026_DuckDuckGo.jpg
    Screenshot_20210105-091026_DuckDuckGo.jpg
    95.7 KB · Views: 15
  • Screenshot_20210105-090907_DuckDuckGo.jpg
    Screenshot_20210105-090907_DuckDuckGo.jpg
    85.8 KB · Views: 14
Yaani mapema Sana tuwapige kwenye miundo mbinu yote,usafi,mpangilio,utaratibu hatuachi kitu nyuma Ila ndungu zetu mambo kama haya yanatia kinyaa Sana,hivi Kenya hakuna bwana afya? Hivi mkurupuko wa magonjwa ukitokea inakuaje?[emoji849]
Wakati watu wamejenga dampo la bilioni 9 na haliko moja [emoji116][emoji116]
 
Back
Top Bottom