komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Acha kanisa, kenya hata community wanajenga shule..Aisee hii ni hali mbaya sana serikali ya Kenya haina shule za maana. Zote zinamilkiwa na either mtu au jumuiya.
Eti jumuiya wanaita public!!!? My God tangu lini kanisa likawa public entity!?
Je kanisa linakaguliwa na serikali mapato yake!?
Legacy ya harambeee hyo..
Wala hamtowahi kutufikia wakenya likija swala la umoja katika maendeleo



