Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Message inasema Scania zote za Kenya and Tanzania are being assembled in Mombasa[emoji23][emoji23][emoji23]. I asked for two countries which are Kenya and Tanzania na wamesema Scania ambazo zinatukima Kenya na Tanzania are assembled in Mombasa[emoji23][emoji23][emoji116]View attachment 1667272
Hebu muulize hili swali lako alafu weka hapa tuone [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]
 
Wewe nilishakuambia achana na kingereza juu hakuna kitu unaelewa hapo[emoji23][emoji23][emoji23]. Scania zote za Kenya na Tanzania are assembled in Mombasa wewe fala[emoji23][emoji23]
Muulize hili swali alafu weka hapa, unajua ww kwa hii tabia yako hata Wakenya wenzako wanakushangaa sn, una tabia mby mno wewe dada.
 
As long as I state facts here, I don't care what you witches will be saying about me[emoji23][emoji23][emoji23]. Watanzania wanaogopa ukweli sana[emoji23][emoji23]
Huyo ni fala sn ana mambo ya kiwaki sn sidhani hata kama anaishi na watu vzr juu ya tabia yake hiyo, yn ana tabia zote mby [emoji3][emoji3]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] denial kama kawa. Hapo ni inbox yao ya fb. Shida ya watanzania hawataki kukubali kuwa Kenya iko mbele yao.[emoji23][emoji23]
True,they’re even arguing about SUNFLAG GROUP KENYA with a branch in Arusha,very incorrigible people!
 
Hebu muulize hili swali lako alafu weka hapa tuone [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]
IMG_20210104_115046_263.JPG
 
Hiyo kuunganisha inaitwaje kwa kingereza?[emoji23][emoji23][emoji23] Wewe hakuna kitu unajua bana[emoji23][emoji23]
We jamaa tafuta namna uwe na exposure kidogo. Hivi unakazi kweli!?
Tulikuwekea hivyo vitu vinafanyika kila nchi.

Hapa Tanzania kuna Dar Coach, HansPaul, Carmatec etc.

Hebu wakati mwingine ona aibu basi.
 
We jamaa tafuta namna uwe na exposure kidogo. Hivi unakazi kweli!?
Tulikuwekea hivyo vitu vinafanyika kila nchi.

Hapa Tanzania kuna Dar Coach, HansPaul, Carmatec etc.

Hebu wakati mwingine ona aibu basi.
Wewe ndio huna exposure[emoji23][emoji23][emoji23]. Tanzania only do body buildings and not assembling. I know your stupidity can't allow you to differentiate the two[emoji23][emoji23]
 
Vipi hizi screenshots fake si ndio umezikimbia kule kwenye tofauti kati ya DNA na RNA baada ya kukuwekea "sources"za kuaminika?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Why can't you reply the last comment I quoted you? I'm still waiting for your reply[emoji23][emoji23]
 
China washausoma mchezo kuwa sisi sasa hivi tunataka win win deals. Hivyo wameona siyo ishu maana siyo kwamba fair deals haziwalipi. Ni ile tu walizoea kutuweka shamba la bibi kama wanavyowafanyia hao jirani zetu hapo juu.

Wachina ukiwakazia infrastructure zao ni nzuri sana tu. Tazara kwa mfano; ni iconic. Hii ndiyo sababu hata kipindi cha uchaguzi wamarekani walipoanza kujibaraguza China wakawapa onyo waache mambo yasiyowahusu.
kupitia tz china atazifikia nchi landlocked kirahisi,
2025 infrastructure zetu zitazionganisha Congo,Uganda,Burundi, Rwanda,Zambia, malawi na dunia!
acha wakubwa wa dunia wapambane sasa[emoji39][emoji39]

kupitia ujio huu kama mikataba itasainiwa nauhakika swala la gharama litazingatiwa sana!
 
Feelings za kike ni kuwa na taifa la kike na serikali ya kike. Serikali ambayo haiweji kujitafutia pesa kwa ajili ya shughuli zake. Kila uchao na bakuli kwa mabeberu;

Naomba hela za corona (halafu zinapigwa),

Naomba unijengee express way,

Naomba unijengee SGR,

Hilo taifa ipo siku mtashtuka mmeuzwa tayari.
Tatizo duniani hatujaanza sisi wala pia sio wa mwisho kukopa, kwhyo hayo maeneno yako mpelekee abdalla maleso aweke kw khanga zake
 
Back
Top Bottom