Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wealthiest in kenya 2020 hawa bongolala hawajui ki2 ni uchawi 2 wivu inawatomba sana
Fukara nyingine toka kunya imekuja na mafu kwenye chupi...rudi kwenu ....unajua kutukana ndio kitu unaweza maishani hata kukaa kibera tu huwezi uko uko ushago umepata wifi ya bure uje utukane watu hapa jinga kabisa ww
 
sitosahau siku media mojawapo ya kenya ilitakiwa kumuomba radhi rais Magufuli kwa siku saba.. hapo ndo nikajua Magu hatishiwi na kitu chochote kutoka kenya[emoji23][emoji23] i’m sure hata Uhunye alisurrender, ndo mana hakuongea chochote
ase nabaki nacheka tu
 
Hii hapa ndio itakumaliza kabisa, hii imeonyesha "Similarities na differences zote. Hii imeeleza waziwazi kwamba, DNA some times occurs as Single strand, and RNA also some times occurs as double strand, therefore this difference can't be used as main difference to differentiate them [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ni aibu gani hii kwa mtu mwenye degree ya Microbiology kufundishwa na Form Four ya div 4, hivi huko Kenya mpo na matatizo gani?, kila kitu hamjui mnategemea wachina, zaidi ya Kiingereza na Ukabila, kitu gani tena mnajua?
Na hata kingereza pia hawajui wanabambia bambia tu labda Wakenya wa zamani kdg walikuwa wanajitahidi ila hawa wa sasa hawana lugha wanayoijua kwa ufasaha labda kijaluo [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Atcl haimiliki ndege, bali jiwe ndio kazinunua kimabavu hata bila kuitisha bajeti bungeni..

Kwhyo atcl kapewa ndege achape kazi km anavyotaka mkulu..
Mwanzoni nilikuwa nawabishia akina Geza Ulole kwamba nyie watu hamko sawa. Ila sasa nimeanza kuelewa. Ki ukweli kuna shida kubwa kwenye hivyo vichwa. Mie husoma kila bajeti ya ujenzi na miundombinu, na wizara ya fedha kila mwaka.

Kwa mtu aliye timamu hawezi kuja hapa na kusema ununuzi wa ndege haukupitishwa bungeni! It's very pathetic.
 
Source ya taarifa zao nyingi ni jukwaa la siasa.

Halafu mkoloni aliondokaga na akili zao.
 
Mwanzoni nilikuwa nawabishia akina Geza Ulole kwamba nyie watu hamko sawa. Ila sasa nimeanza kuelewa. Ki ukweli kuna shida kubwa kwenye hivyo vichwa. Mie husoma kila bajeti ya ujenzi na miundombinu, na wizara ya fedha kila mwaka.

Kwa mtu aliye timamu hawezi kuja hapa na kusema ununuzi wa ndege haukupitishwa bungeni! It's very pathetic.
hao ndiyo wakenya bhana endelea kuwa enjoy[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom