Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 26,954
- 27,946
Unahangahika sana. Umeacha kupost picha za China sasa unataka kujua jina la hoteli

Please can you give us the name of hotel

Please can you give us the name of hotel
Kama hicho ni kigezo cha kua ahead then sisi tumewaacha mbali sana HANSPAUL zimekua zikitumika kwenye utalii, NYUMBU kweye majeshi na CARMATEC kwenye kilimo sasa nani yupo mbele hapo na ujue HANSPAUL ilianza tangu 2007, NYUMBU tangu miaka ya 70 that's why tunatengeneza hadi tanksMobius is manufactured in Kenya. Tanzanians have started 2021 by not believing that Kenya is ahead of them in everything. The vehicles are now being used by our police service.
View attachment 1665909
Nilifikiri slum za nairob ni ukosefu wa nafasi kumbe ndio planner wao wanavyowaongoza.



Proof?Becomes the second most expensive house in Africa. The most expensive house in Africa still in Nairobi is located in Runda.
View attachment 1666537View attachment 1666538
Mr Mapadlocks anapewa kichapo kweli kweli, anadhani hapo ni Tanzania yenye ataiba kura
View attachment 1666511
Proof?
Wewe ni mdogo sana kwangu. IQ yako ipo chini mno. Naweza kukuchezesha gwaride muda wote.Unahangahika sana. Umeacha kupost picha za China sasa unataka kujua jina la hoteli![]()
Nilifikiri slum za nairob ni ukosefu wa nafasi kumbe ndio planner wao wanavyowaongoza.



Hawa jamaa bana wanafrahisha sanausiangaike na hivyo “vivumishi/adjective vyao” ni kawaida yao kusema maneno kama haya
“the most beautiful in Africa“ “the fastest in Africa“ “the busiest in Africa“ the most hardworking in Africa”
hata SGR yao wanaiita the only one class 1 SGR in Africa lkn kuhalisia mnaujua wenyewe
Na hii issue sidhani kama ni serious. Also sidhani kama kuna faida yoyote kwa taifa letu.hili suala binafsi silifuatilii sana... na kwa Magu sijajua ina faida gani! lkn kuweko kwake kwenye hio list kuna kitu dunia kimeonyeshwa au waandaaji kuna kitu wamekiona toka kwa Magu! kwann asiwepo Paul Kagame? au wa kule misri au wa taifa lolote la Africa? au Uhunye?? Kwann Magu????
in short, waandaaji kuna kitu wamekiona kwa Magu au kwa hao wengine watatu!
hata Magu akiwa wa mwisho.. kuna Africa pamoja na waandaaji wamekiona kwa Magu
Sasa education yako ya class seven ndio unapiga nayo kelele hapa?Wewe ni mdogo sana kwangu. IQ yako ipo chini mno. Naweza kukuchezesha gwaride muda wote.
Ukija kwenye facts mimi nina data nyingi.
Education nakuzidi
Exposure nakuzidi.


Mbona usieke certificates zako hapa kulinganishe na zangu


Kama hizi sio bodybuilding mbona husemi ni series ipi ya bus za Scania? Ni generation gani ya Scania buses? Hybrid gani?So master fabricators siku hizi wanaitwa scania?Ebu soma hiyo wall ya nyuma uniambie wapi penye imeandikwa master fabricators
View attachment 1666355View attachment 1666356View attachment 1666358
yule si chizi wa mathare kapata fursa ya kutumia androidYule jamaa wa kenya nilimwambia atulie.
Halafu akaanza kupiga kelele eti naifananisha kenya na China!!!
Nikamwambia atulie mimi ni mtaalamu wa psychology.
Sasa hivi amejificha atakuja na mada nyingine. Ninajua jinsi ya kum switch on and off.


Weka ushahidi kwamba hizi zinatoka Naivasha port, most likely they come from Mombasa straight, Ugandans refused to use your expensive SGR services, wacha kujidanganya, SGR is white elephant, nor one wants to use it.Tanzanians this is not a train, these are trucks heading to Uganda, Rwanda, DRC and Burundi after they have been onloaded with cargoes at Naivasha dry port. Natamani tena kusikia hile ngoma ya waganda wanapenda bandari ya DarView attachment 1666519
Standard seven ya TZ ni sawa na High School ya kenya.Sasa education yako ya class seven ndio unapiga nayo kelele hapa?Mbona usieke certificates zako hapa kulinganishe na zangu
![]()
Umesahau ubungo,ubungo kisiwani,ubungo kibangu,ubungo makoka.Wards in Dar es salaam
A
Azimio
B
Buguruni
Bunju
C
Chamazi
Chang'ombe
Chanika (Tanzanian ward)
Charambe
G
Gerezani
Goba (Tanzanian ward)
H
Hananasif
I
Ilala (Ilala ward)
J
Jangwani
K
Kariakoo
Kawe (Tanzanian ward)
Keko (administrative ward)
Kibada
Kibamba
Kigamboni
Kigogo
Kijitonyama
Kimara
Kimbiji
Kinondoni (ward)
Kinyerezi
Kipawa (Tanzanian ward)
Kisarawe II
Kisutu
Kitunda
Kivukoni
Kiwalani
Kunduchi
Kurasini
M
Mabibo
Magomeni
Makangarawe
Makuburi
Makumbusho
Makurumula
Manzese
Mbagala
Mbagala Kuu
Mbezi
Mburahati
Mbweni, Dar Es Salaam
Mchafukoge
Mchikichini
Miburani
Mjimwema, Temeke
Msasani
Msongola
Mtoni, Dar Es Salaam
Mwananyamala
Mzimuni
N
Ndugumbi
P
Pemba Mnazi
Pugu, Tanzania
S
Sandali
Segerea
Sinza
Somangira
T
Tabata (ward)
Tandale
Tandika
Temeke (Tanzanian ward)
Toangoma
U
Ukonga
Upanga East
Upanga West
V
Vijibweni
Vingunguti
Y
Yombo Vituka
Naaam. Kweli.Umesahau ubungo,ubungo kisiwani,ubungo kibangu,ubungo makoka.
Kimara nayo.
Wameshaanza kuchimba nguzo. Hizo Cranes tatu zimeanza two weeks ago baada ya PM na JPM kupita


Standard seven ya TZ ni sawa na High School ya kenya.
Vilevile nilisahau
Pesa nakuzidi, Maisha mazuri nakuzidi.


.
Standard seven ya TZ ni sawa na High School ya kenya.
Vilevile nilisahau
Pesa nakuzidi, Maisha mazuri nakuzidi.