Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Isiolo City Capital of Isiolo County in Kenya
images - 2021-01-03T142201.377.jpeg
images - 2021-01-03T142125.137.jpeg
images - 2021-01-03T142053.669.jpeg
images - 2021-01-03T142041.863.jpeg
 
Aibu ya nini ? Ama aibu ya venye CBD ya Dar ni chafu with unpaved roads?
huna hoja tembea uje ujioneee,,nafikiri hiyo kauli yako utaivunja...

wenzako huku asilimia kubwa tunao argue tunaijua nairobi nnje ndani kadig city unakamaliza chap kuround.....

haturopoki
 
List of Nairobi Wards.
Naanza kuichambua Nairobi in and out.

Dagoretti North
Dagoretti South
Westlands
Langata
Kibera
Roysambu
Kasarani
Ruaraka
Embakasi South
Embakasi North
Embakasi Central
Embakasi East
Embakasi West
Makadara
Kamukunji
Starehe
Mathare
 
Wards in Dar es salaam

A
Azimio
B
Buguruni
Bunju
C
Chamazi
Chang'ombe
Chanika (Tanzanian ward)
Charambe
G
Gerezani
Goba (Tanzanian ward)
H
Hananasif
I
Ilala (Ilala ward)
J
Jangwani
K
Kariakoo
Kawe (Tanzanian ward)
Keko (administrative ward)
Kibada
Kibamba
Kigamboni
Kigogo
Kijitonyama
Kimara
Kimbiji
Kinondoni (ward)
Kinyerezi
Kipawa (Tanzanian ward)
Kisarawe II
Kisutu
Kitunda
Kivukoni
Kiwalani
Kunduchi
Kurasini
M
Mabibo
Magomeni
Makangarawe
Makuburi
Makumbusho
Makurumula
Manzese
Mbagala
Mbagala Kuu
Mbezi
Mburahati
Mbweni, Dar Es Salaam
Mchafukoge
Mchikichini
Miburani
Mjimwema, Temeke
Msasani
Msongola
Mtoni, Dar Es Salaam
Mwananyamala
Mzimuni
N
Ndugumbi
P
Pemba Mnazi
Pugu, Tanzania
S
Sandali
Segerea
Sinza
Somangira
T
Tabata (ward)
Tandale
Tandika
Temeke (Tanzanian ward)
Toangoma
U
Ukonga
Upanga East
Upanga West
V
Vijibweni
Vingunguti
Y
Yombo Vituka
 
hii wasouth inabidi wawashtaki ,jina la mandera halipaswi kabisa kuwa sehemu njaa na ufukara kama hiyo

we jamaa mtu m'baya sana umecheza na akili yangu, ungechelewa kidogo tu nilikuwa naelekea hii sector
Yule jamaa wa kenya nilimwambia atulie.
Halafu akaanza kupiga kelele eti naifananisha kenya na China!!!

Nikamwambia atulie mimi ni mtaalamu wa psychology.
Sasa hivi amejificha atakuja na mada nyingine. Ninajua jinsi ya kum switch on and off.
 
Wewe unajua Nairobi kwa jina tu, hujaifika na hutawahifika pia. On the other hand I Dar is known for its lack of paved roads in the CBD
huna hoja tembea uje ujioneee,,nafikiri hiyo kauli yako utaivunja...

wenzako huku asilimia kubwa tunao argue tunaijua nairobi nnje ndani kadig city unakamaliza chap kuround.....

haturopoki
 
Back
Top Bottom