Walker255
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 4,884
- 12,949
Don’t be petty!Your fellows have and that makes you
Don’t be petty!Your fellows have and that makes you
Uliza sasa bajeti ya hiki kibanda. Unaweza pata homa ya ghafla kwa sababu ya mshangao. Hawa jamaa ni manyang'au kwelikweli kwenye suala la wizi wa fedha za umma!
Mtu amebeba "asante mjomba" kama anaenda mkoani huko njilinji,kumbe anaenda kupanda commuter😭😭🤣Ni lazima tuende na kasi ya dunia, Wakenya msiturudishe nyuma, mnakwama wapi? Ona mtu anavyoharibu maana ya commuter transport, km hamuwezi kuwa civilised muwachane na civilised transport mbaki na ma3[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]View attachment 1665759
Hili ni wazo zuri sana,ila viongozi wamelala sanaYeah, sielewi kwanini serikali isifike muafaka wa kupiga ban uzalishaji wa uncoated iron sheets
Kwhyo national housing pale getini hupiti mpaka utozwe ada[emoji1787][emoji1787]kwa hiyo inamaana hata national housing zinapojengwa unataka zisilipiwe rent kisa ni miradi ya kiserikali[emoji2][emoji2][emoji16][emoji16][emoji16]?
Hyo ni BRTMbona unaingilia Mada isiyokuhusu? I replied to that guy’s post with empty BRT pictures because he posted empty commuter rail trains! Halafu, I don’t understand what the problem is here! Tatizo ni watu? The buses are for the people. Huna exposure kabisa wewe. Here’s an example of a crowded public transport system that’s not in Dar!
Subway trains in NYC during rush hourView attachment 1666021View attachment 1666022
Kumbe mlikua hamna estates za jeshi [emoji1787][emoji1787]Hata sisi pia za kitambo tunazo huku tunaita kota ila tuliamua kujenga upya, hebu leta estates za jeshi huko kenya tuone [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Jamaa plants zao ni za china tu[emoji1787][emoji1787]Umemmaliza nguvu huyo kilaza. [emoji23] atasema nini sasa?
Mi nawashangaa hawa majamaa wamengangania wachina karibia kila kitu banaNajua inakuuma kuwa magari za scania are being assembled in Kenya[emoji23][emoji23][emoji23]. Ebu angalia hiyo wall pale nyuma alafu uniambie kama hiyo scania[emoji23][emoji23]. All these vehicles were assembled in Nairobi pale Mombasa road.[emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1666037View attachment 1666038View attachment 1666039View attachment 1666040View attachment 1666041
Mbona usilete picha ya aerial view ya Runda au Lavington? Mbona unaleta picha ya surbubs za USA na TZ lakini KE unaweka slums? Au Marekani hawana maeneo yanayofanana na slums? Huko Los Angeles kuna mahali panaitwa skid row. Huko kuna chokoraa wengi na homeless people wengi. Mbona hukuweka picha ya eneo hilo?
Are you aware that some of their buses are assembled in Nairobi?[emoji23][emoji23][emoji23]Mi nawashangaa hawa majamaa wamengangania wachina karibia kila kitu bana
I can feel your pain[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]Yani Kenyans are so stupid. Garage wabaita factory. Pwahahaha
Kaa utue basi jomba, shairi lotw hilo la nini..kwn uliulizwa au wewe ndio umepagawa ukashobokea comment na ku quote sasa tuliza mshono au utakatwaMambo ya Kenya ni yenu. Mimi nafanya utafiti vitu vya maana kama cosmology, How to make hydrogen bomb nk. Vitu vya kuhusu Kenya ni vyenu watoto msio na uwezo wa kufikiri. Hahahahaha
Another assembly plant in Mombasa, ukiona vitu kama hizi Tanzania just know that they have been sourced from Kenya[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116].Yani Kenyans are so stupid. Garage wabaita factory. Pwahahaha
Zirudi na wakati zilitoka kw serekali na serekali hyo hyo ndio imewajengea wananchi wake, mbona zirudiWw fala pension fund ni pesa za wananchi ni lazima zirudi mpuuzi ww.
Yah, hii inaenda parallel na ile ya uhasibu, hope zote zitaisha pa1.Chang'ombe ndio mitaa ya Banda la ngozi ...correct?
Kuna vifo vimetokea.
April ndo utajua hujui [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]After kuona expressway inajengwa,,Sasa hakuna overpass inaweza nistua kuona imejengwa hapo Dar[emoji16]
View attachment 1666033View attachment 1666034View attachment 1666035